Akiba cormmecial bank hii ni zaidi ya upumbavu na kero

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Sijawahi kuelewa hii Bank ina tatizo gani

kuna siku around Dec mwaka 2014 watu wameshindwa kuchukua pesa
zao kwa siku tatu mfululizo kisa ni networks...siku tatu mfululizo...
unbelievable....na sasa imekuwa kawaida hii bank ikifika weekends hakuna networks

ukienda kwenye ATM ya UMOJA SWITCH ajabu wateja wa bank zingine tena bank ndogo kabisa
wana toa pesa zao kama kawaida lakini mteja wa ACB unaambiwa 'BENKI YAKO HAIPATIKANI'
kibaya zaidi ukipiga simu kwenye call center yao simu hazipatikani au hazipokelewi

Hii bank kwa kweli tunapaswa kuanza kampeni ya kuisusa hadi wajirekebishe

hawana heshima kwa wateja kabisa wala kujali'

yaani mtu anashindwa kupata pesa zake mwenyewe na hakuna mtu wa kumuuliza

kwa siku hata tatu mfululizo.......only in Tanzania...........
 
Tasnia nzima ya benki Tanzania ni mbovu kupitiliza.

Mara kibao mimi nishaenda benki na ghafla wateja mnaambiwa eti 'mtandao uko chini, rudini baadae au kesho'.

Naweza kuandika kitabu hata cha kurasa 300 juu ya kero wazipatazo wateja wa benki Tanzania.

Huwa najiona mwenye bahati ya istihaki ya kuweza kulinganisha huduma zetu za benki na zile za nchi ziliizoendelea.

Bahati mbaya Watanzania wengi hawana hiyo istihaki ya kuweza kufanya hivyo na hivyo kupelekea kuziona au kuzichukulia hizo kero kuwa ni mambo ya kawaida tu.
 
Sasa hizo keroulizozipata benki zingine hawa akiba ni ten times

halafu Tanzania nzima watu kuambiwa 'hakuna network' ni jambo lililozoeleka mno

watanzania wengi wanaamini hiyo ni dunia nzima kuwa network zina shida kama TZ
 
Sijawahi kuelewa hii Bank ina tatizo gani

kuna siku around Dec mwaka 2014 watu wameshindwa kuchukua pesa
zao kwa siku tatu mfululizo kisa ni networks...siku tatu mfululizo...
unbelievable....na sasa imekuwa kawaida hii bank ikifika weekends hakuna networks

ukienda kwenye ATM ya UMOJA SWITCH ajabu wateja wa bank zingine tena bank ndogo kabisa
wana toa pesa zao kama kawaida lakini mteja wa ACB unaambiwa 'BENKI YAKO HAIPATIKANI'
kibaya zaidi ukipiga simu kwenye call center yao simu hazipatikani au hazipokelewi

Hii bank kwa kweli tunapaswa kuanza kampeni ya kuisusa hadi wajirekebishe

hawana heshima kwa wateja kabisa wala kujali'

yaani mtu anashindwa kupata pesa zake mwenyewe na hakuna mtu wa kumuuliza

kwa siku hata tatu mfululizo.......only in Tanzania...........

Pole sana yote hayo yanatokea kwa sababu hiyo bank inasifa za kulipa wafanyakazi wao vijimishahara vidogo... wadhania nani atakuwa na hari ya kufanya kazi kama kampuni ya kifamilia? wafanyakazi kutwa kuacha kazi na kutafuta maslai ya kweli bank zingiine... sasa wao wamebakia kuwa kama njia ya kufundishia watu kazi... haswa wale fresh from school... uongozi unaenjoy kwa malipo madogo kwa wafanyakazi huku nje wateja wanalalama...
 
tunapaswa kuanza kampeni ya kuisusa hii bank.....wamezidi uhuni
 
Sasa wawe wamekukopesha na umetiliza siku moja tena kwa kuwataarifu.. wanakuja hadi nyumbani kwako kupitia mwenyekiti wa serikali ya mtaa na kuwaita majirani kuwafahamisha kuwa wanakudai. Riba yenyewe kubwa mno. Nilikopa milioni tatu nikalipa milioni nne na laki mbili ndani ya mwaka. Wakati wewe ukiweka hela zako kwa mda mrefu hakuna kinachoongezeka. Naona mabenki yote nchini ni majoka yenye makengeza tu
 
Sasa hizo keroulizozipata benki zingine hawa akiba ni ten times

halafu Tanzania nzima watu kuambiwa 'hakuna network' ni jambo lililozoeleka mno

watanzania wengi wanaamini hiyo ni dunia nzima kuwa network zina shida kama TZ

Ama kweli kutembea kwingi nako ni kuelimika (kujiongezea maarifa).

Siku Chase, Wells Fargo, au BoA mtandao wao ukiwa chini ina make headlines kwa sababu si jambo la kawaida.

Na kama ikitokea mtandao uko chini mara nyingi huwa ni kwa sababu ya system maintenance na wateja mnakuwa mmepewa tahadhari mapema kabisa na mnapewa muda takriban ambapo huo mtandao hautakuwepo hewani na mnapewa options kama mtu unataka huduma basi uende tawini moja kwa moja.
 
Shida ya Tanzania ni kuwa unaweza kukuta CEO wa bank hajawahi hata kuishi nchi zilizoendelea
hayuko that exposed.....matokeo yake anafikiri kila kitu anachoambiwa na wafanyakazi wake ndio the only option

hawajui kuwa haya matatizo yote ya bank zetu kuna nchi yashapatiwa solution
permanent solution.....
wao wanaenda enda tu

mtu kazaliwa huko Tandahimba akisafiri sana ni India na Kenya na Soth Africa kuhudhuria semina
unategemea nini?
 
tunapaswa kuanza kampeni ya kuisusa hii bank.....wamezidi uhuni
Kuisusia sio issue ni kuwapa Ushauri tu Mambo ya kuboycot hasara huwa pande zote... dawa ni kukaa mezani tu... Hawa ni wafanya biashara ushauri ndio njia ya kwanza... Head office yao ATM karibu kila weekend huwa na msg kuwa Bank yako haipatikani...

Pengine ni kutokana na huu Umoja hivyo pesa zinaisha haraka sana kwenye Machine...

Nakumbuka ile December walikuwa na Tatizo kubwa sana liliwapata na walijitahidi na misamaha waliomba kwa njia ya sms... ila baada ya hapo ndio imekuwa sasa Sifa kila weekend ni balaa
 
Hawa wanastahili kushtakiwa ili watie akili
siku tatu mtu hatoi pesa zake unajua hasara ya aina ganimtu anaweza kuipata?
kama mtu anawahi matibabu nje ya nchi si anakufa?
 
kuna branch zao zengine staff wao wanafanya biashara ukifwatilia mkopo au kupata huduma zengine unatangaziwa na biashara ya nguo,vipodozi nk
 
Umeona sasa....hawa hata call center yao simu hazijibiwi
usikute hata team ya ICT hawana
wanachukua deiwaka....
 
bora hayo yako mm napata shida sana ninapoenda kupata huduma ya western union yani nikitaka kutoa hela nilizotumiwa naenda bank ya postal tanzania kuna mfanyakazi wa kitengo kile akiniona tuu anachanganyikiwa mpaka amwite mkaka flani ndio anajua process za kutoa hyo huduma ya western union asipokuwepo kila nikienda ananiambia network ina sumbua niliacha kutumia bank ya postal sahivi nimeamia BOA, uongozi wa bank ya posta mbeya rekebisheni hilo
 
Sasa hizo keroulizozipata benki zingine hawa akiba ni ten times

halafu Tanzania nzima watu kuambiwa 'hakuna network' ni jambo lililozoeleka mno

watanzania wengi wanaamini hiyo ni dunia nzima kuwa network zina shida kama TZ

Muundo mbinu ya internet kwa tanzania ni kero kubwa wala msilaumu benk tulitegemea ttcl na fiber optic yao wangesolve shida za mtandao lakin hakuna kitu
 
Mie binafsi ni mteja wa akiba,
ila nadhani akiba ina afadhali kulinganisha na benki zingine.

Kiukweli kikundi chetu kimefaidika sana na mikopo yao ya vikundi.Ni ukweli usiopingika kwa sisi wateja wa chini akiba inatusaidia sana,nikisikia popote pale inasemwa vibaya nakumbuka mikopo yao inavyosaidia watu wa chini.
 
Unaweza kuweka milion 100 kwenye kibubu?

Ndio unaweza, Ushahidi ninao, hivi wale waliobeba mihela kwenye viroba,sandarusi,Rambo nk nk waliweka wapi hela zao siku ile, si walitumia mibubu yao kuhifadhi, na mpaka saa hizi ile mihela iko kwenye mibubu yao. Benki haipelekeki.
 
Back
Top Bottom