Akiba cormmecial bank hii ni zaidi ya upumbavu na kero

Akiba cormmecial bank hii ni zaidi ya upumbavu na kero

Umeona sasa....hawa hata call center yao simu hazijibiwi
usikute hata team ya ICT hawana
wanachukua deiwaka....
Hahahahaaha mkuu umenifurahisha benki ichukue deiwaka....itakuwa haijajipanga kabisa.
 
Back
Top Bottom