Akiba ya pesa kwenye akaunti kwa dola za Marekani ni bora kuliko Shilingi za kitanzania?

SPINE

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
1,068
Reaction score
1,150
Wakuu habari za wakati huu,
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu, je ni vyema kusave pesa kwenye saving account yako kwa mfumo wa US Dollar kuliko TZ Shilings. Nina mpango wa kuanza kufanya saving kwa kile kidogo nitakachojaaliwa na Mwenyezi Mungu maana nilichojifunza hapa duniani kila mmoja atapambana na hali yake hasa katika matatizo. Kwa hiyo nikaona ni vyema nianzishe utaratibu wa kujiwekea akiba hata kama ni kusanyiko la kila baada ya miezi mitatu.

Kuna tetesi kuwa ukiweka kwa Tz Shilingi kuna hasara maana thamani yake inayumba na pia inashuka kila mara, naomba mawazo kutoka kwenu wanabodi.

NB: Kama unaona wazo langu sio zuri, tafadhali nipatie njia mbadala na wala usinikatishe tamaa.
 
Hakuna mtu mwenye uzoefu wa hili jambo?
 
Hakuna mtu mwenye uzoefu wa hili jambo?
Wazo zuri sana. Una kumbuka kipind kile dollar ilikuwa 1500? Kuna jamaa yangu alikuwa anaweka hela kwa mfumo wa dollar sasa ilipopanda ikawa 2000 alipata hela nzuri.
Wazo zuri. Kwa viwanda vyetu hivi vya kuwalipa wafanyakazi 5700 kwa siku dollar itafika 3000. Kwa sasa naona dollar inapanda taratibu
 
Inaonekana ipo poa japo kuna watu wanadai makato yake pia ni makubwa, ndio maana tungepata ambao tayari wana hizo akaunti wangetupa uzoefu zaidi ila naona kimya......hapa dawa yake ningeweka picha za jukwaa la wakubwa ndio ningepata jibu haraka 😀😀
 
Wakuu habari za wakati huu,
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu, je ni vyema kusave pesa kwenye saving account yako kwa mfumo wa US Dollar kuliko TZ Shilings. Nina mpango wa kuanza kufanya saving kwa kile kidogo nitakachojaaliwa na Mwenyezi Mungu maana nilichojifunza hapa duniani kila mmoja atapambana na hali yake hasa katika matatizo. Kwa hiyo nikaona ni vyema nianzishe utaratibu wa kujiwekea akiba hata kama ni kusanyiko la kila baada ya miezi mitatu.

Kuna tetesi kuwa ukiweka kwa Tz Shilingi kuna hasara maana thamani yake inayumba na pia inashuka kila mara, naomba mawazo kutoka kwenu wanabodi.

NB: Kama unaona wazo langu sio zuri, tafadhali nipatie njia mbadala na wala usinikatishe tamaa.

Kama unapokea in dollars! lakini kununua dollar for savings reason, labda kama wewe ni milionea, maana running cost pia ya $ account ni nyingi sana!
 
Wanakata $5 kwa mwezi ambayo ni Sawaa na Tshs 11,500. Kwa mwezi. Bado VAT. Wajanja wengi wangefungua kwa accounts za dollars. Charges za kufanya muhamala wanakata kama $2. Sasa apo gharama za operations ni juuu sana. Kwà iyo wengi hawafungui acoonts izo wanapambana na iyo Depreciation {Inflation}. Kama Inflation ni 6.35% kwa mwaka. Kwa iyo kama unaweka Pesa bank kwa Pesa ya kitanzania, kwa mwaka unapoteza asilimia iyo apo kwa mwaka kwa Pesa za kitanzania
Mfano ukiweka Tshs 10M kwa mwaka unapoteza kama Tshs 635,000. Kwa iyo unakuwa na Tshs 9,365,000.
Ukiweka ktk Dollars 5,000 kwa mwaka weka kila mwezi unalipa dollars 5. Kwa mwaka inakuwa dollars 60 ambazo ni sawa Tshs 140,000 bado na VAT apo kwa kifupi inategemea kama dollars itapanda sana inalipa lakini kama aitapanda sana, inakuwa ni gharama bado kuna kiwango cha ubadilishaji wa izo fedha
 
Fanya utafiti hizi facts zako
 
Save dola hii tz shs yetu haitabiriki.

ikifika kipindi cha uchaguzi unaexchange serekali inaachiaga hela matokeo dola inakuwa na thamani kubwa mfano: ulinunua dola moja kwa 2140 unakuja kuexchange kwa 2340 unakuwa umekula faida ya mia mbili kwa kila dola. sasa baada ya uchaguzi serekali itaanza kukimbizana kushusha thamani ya dola kwa kupunguza mzunguko wa dola.
 
tafuta uzi mmoja wenye kichwa ni bank gani isiyo na makato ya mwezi kuna nguli mmoja wa jf upande wa teleology alichambua hili swala vizuri tu na bank zinazotoa hizi huduma CHIEF MKWAWA

ngoja niendelee kufuatilia maana bado napewa uzoefu na wadau .
 
Back
Top Bottom