SPINE
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 1,068
- 1,150
Wakuu habari za wakati huu,
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu, je ni vyema kusave pesa kwenye saving account yako kwa mfumo wa US Dollar kuliko TZ Shilings. Nina mpango wa kuanza kufanya saving kwa kile kidogo nitakachojaaliwa na Mwenyezi Mungu maana nilichojifunza hapa duniani kila mmoja atapambana na hali yake hasa katika matatizo. Kwa hiyo nikaona ni vyema nianzishe utaratibu wa kujiwekea akiba hata kama ni kusanyiko la kila baada ya miezi mitatu.
Kuna tetesi kuwa ukiweka kwa Tz Shilingi kuna hasara maana thamani yake inayumba na pia inashuka kila mara, naomba mawazo kutoka kwenu wanabodi.
NB: Kama unaona wazo langu sio zuri, tafadhali nipatie njia mbadala na wala usinikatishe tamaa.