Akiba yako kiasi gani na imekaa muda gani?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Samahanini sana Nina swali mimi watu kibao wanaonishauri mambo ya fedha wananikumbusha kujiwekea akiba kwa ajili ya dharura na wanajinasibu kabisa wao wanaweka akiba ipo imetulia sehemu.

Huwa najiuliza mbona vipindi vingi hata wao hulia knock je kweli uwe na akiba na ujibane usitumie uishi maisha ya dhiki.

Anyway swali sio Kwa wafanyabishara wao wanazungusha hela kila siku nataka wanijibu wafanyakazi umeweka kiasi gani cha akiba na ni muda gani Mpaka sasa hujakigusa kabisa.
 
Hili jambo limefichwa katika moja ya siri kuu na nguzo muhimu katika maisha.......FUNGU LA KUMI>>>kama huamini basi kila upatapo toa japo kidogo saidia wenye kuhitaji,,,,,,iliyobaki ukiiweka /hifadhi mahali itadumu na kuongezeka
 
Save kwaajili kuwekeza baadae ukisave uje ununue liability.. utaumia mara kumi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…