Sasa bwana nataka ujue kuwa mimi
sio daktari lakini nimesoma kidogo human sexuality na nitakupa my best explanation ya ni nini kinachotokea. Katika tendo la ndoa mwanamke anapitia stages nyingi. Nitazifupisha katika nne.
Stage 1.
Ni kupata mahanjamu. Kipindi hiki anafurahia tu kuwa nawe na saa nyingine anakuwa wet huko chini lakini sio lazima. Mazungumzo hapa ndio muhimu zaidi.
Stage 2.
Kama utamtaarisha vizuri basi yale maji yaliofanya awe wet yatatengenezwa kwa wingi zaidi ndani yake. Kipindi hiki pia anakuwa na shauku kubwa kuwa na wewe lakini hapa hii shauku ni
mental tu na sio
phyisical - nitaelezea baadae.
Stage 3.
Hapa anakuwa yuko tayari kukutana na wewe. Mambo mawili yanatokea.
- Mentally anapokea hisia zote (nip.ples, clit, na viungo vyote) kwa intensity kubwa sana.
- Physically, ile pumping mechanisms ya kusukuma yale maji niliyozungumza kwenye Stage 2 (mechanism sawa na ya sisi wanaume tunapo-realease) inakuwa iko tayari ku-deploy.
Stage 4. Na hapa ndio ninadhani tatizo la mwenzio lilipo:
Anapofika kileleni mambo mawili makuu yanatokea.
- Ile mechanism ya kurelease yale maji (muhimi kwa uogeleaji wa vitu vyako wakati vinatafuta mayai) inafanya kazi na hapa kutatoka maji mengi zaidi ya kawaida (kidogo au mengi hutegemea na kila mtu).
- Uterus (tumbo la kizazi) ina-contract kuleta low pressure ndani (saa nyingine wanaita quiver - tumbo linacontract au kutetemeka - wakina mama wanajua). Hii contraction ni muhimu kufanya low pressure itakayovuta (suck) yale maji na manii kuingia kwenye uterus.
Tatizo la mwenzio:
Kutegemea na uterus ya huyo mwenzio pengine kuna blockages (tumors kama fibroid) ambazo zinamuumiza wakati wa hiyo contraction (suction stage).
(Pengine kuna sababu nyingine - kumbuka mimi sio mtaalam.) Nendeni mkamuone daktari wa wakina mama, na sio hawa general practitioners, atamipa ushauri mzuri.
Kila la kheri.
Nilichosema hapa ni maujanja na maubunifu yangu tu lakini mimi sio daktari.