Akifika kileleni ni tatizo

1 Wakorintho 6

8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

FaizaFoxy: ​Labda hivyo vitabu vyenu - sisi vitabu vyetu wala havisemi hivyo.
 
[h=1]1 Wakorintho 6[/h]8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

Haswaaa bibie umelenga mulemule ila tuu msatri ni wa 9
 
basi ana allergic reaction jaribu kuwaona wataalamu wa masuala ya allergy wanaweza kuwapatia solution......pole xn mkuu ila nothing impossible

Asante sana mkuu,ngoja nijaribu kufanya hivyo
 

Asiyeijuwa ni yule aulizae. Kumbuka hilo.

Au hata hayo unataka kuyabadili?

Umeona hiyo, unaweza kuiandika kwa herufi za Kilatini.
 
Kuna mahali humkuni vizuri. Hiyo hali huwapata hata baadhi ya wanawake pale wanaposhikana na mwanaume na kuachwa bila kupewa shughuli. Chunguza vizuri ujirekebishe. Au kwa upande wa pili inawezekana huyo mpenzi wako hapati lishe ya kutosha na kinachomsumbua ni matokeo ya kukosa nishati baada ya kufikia mshindo.
Kingine itakuwa ana uvimbe kwenye tumbo la uzazi, endometriosis, pelvic inflammatory disease au matatizo mengine yanayohusiana na mfumo wa uzazi. Mpeleke hospitali akachekiwe.
 


Sasa bwana nataka ujue kuwa mimi sio daktari lakini nimesoma kidogo human sexuality na nitakupa my best explanation ya ni nini kinachotokea. Katika tendo la ndoa mwanamke anapitia stages nyingi. Nitazifupisha katika nne.

Stage 1.
Ni kupata mahanjamu. Kipindi hiki anafurahia tu kuwa nawe na saa nyingine anakuwa wet huko chini lakini sio lazima. Mazungumzo hapa ndio muhimu zaidi.

Stage 2.
Kama utamtaarisha vizuri basi yale maji yaliofanya awe wet yatatengenezwa kwa wingi zaidi ndani yake. Kipindi hiki pia anakuwa na shauku kubwa kuwa na wewe lakini hapa hii shauku ni mental tu na sio phyisical - nitaelezea baadae.

Stage 3.
Hapa anakuwa yuko tayari kukutana na wewe. Mambo mawili yanatokea.
  • Mentally anapokea hisia zote (nip.ples, clit, na viungo vyote) kwa intensity kubwa sana.
  • Physically, ile pumping mechanisms ya kusukuma yale maji niliyozungumza kwenye Stage 2 (mechanism sawa na ya sisi wanaume tunapo-realease) inakuwa iko tayari ku-deploy.

Stage 4. Na hapa ndio ninadhani tatizo la mwenzio lilipo:
Anapofika kileleni mambo mawili makuu yanatokea.
  • Ile mechanism ya kurelease yale maji (muhimi kwa uogeleaji wa vitu vyako wakati vinatafuta mayai) inafanya kazi na hapa kutatoka maji mengi zaidi ya kawaida (kidogo au mengi hutegemea na kila mtu).
  • Uterus (tumbo la kizazi) ina-contract kuleta low pressure ndani (saa nyingine wanaita quiver - tumbo linacontract au kutetemeka - wakina mama wanajua). Hii contraction ni muhimu kufanya low pressure itakayovuta (suck) yale maji na manii kuingia kwenye uterus.

Tatizo la mwenzio:
Kutegemea na uterus ya huyo mwenzio pengine kuna blockages (tumors kama fibroid) ambazo zinamuumiza wakati wa hiyo contraction (suction stage). (Pengine kuna sababu nyingine - kumbuka mimi sio mtaalam.) Nendeni mkamuone daktari wa wakina mama, na sio hawa general practitioners, atamipa ushauri mzuri. Kila la kheri.

Nilichosema hapa ni maujanja na maubunifu yangu tu lakini mimi sio daktari.
 

Asante sana mkuu,ngoja nijaribu ilo la kumkuna vizuri japo mara nyingi anadai namkuna,kisha kama itashindikana basi itabid acheki lishe na mwisho ni hospitali.

Asante sana mkuu
 

Kifyatu nashukuru mkuu,umenifungua sana,ntajaribu kutumia mbinu za awali,nkishindwa itabidi nikamuone daktari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…