Akijamiina siku moja baada ya MENSTRATION PERIOD(MP) anaweza pata ujauzito!?

Akijamiina siku moja baada ya MENSTRATION PERIOD(MP) anaweza pata ujauzito!?

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
1,684
Reaction score
2,156
Wadau tupeane elimu juu ya hili swala! kuna uwezekano wowote wa mimba kutungwa hapo!?
 
Akimaliza siku zake ina maana yai lililotakiwa lirutubishwe tayari lilishapasuka na ndiyo sababu akatokwa damu.
 
Back
Top Bottom