Akijua fika Mimi ni mwana CCM na Yeye ni mwana CHADEMA nimemtembelea 'Ofisini' Kwake kila mara ananiwekea tu hizi Nyimbo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nyimbo zenyewe ni kama zifutazo...

1. Tutatoana Roho Yarabi
2. Ujanja wa bure tu
3. Mwaka huu unalo
4. Mbabe kakutana na Mbabe mwenzake
5. Za Mwizi 40
6. Mwosha huoshwa
7. Malipo ni hapa hapa duniani

Wewe Mtani wangu wa Kisiasa mwana CHADEMA hapo Mbezi 'Goigi' Mimi GENTAMYCINE mwana CCM 'Kukutembelea' ndiyo uniwekee hizi nyimbo?
 
Mimi natamani kijani kisivalike mtaani.
Hivi wenye ccm yao wapo??
 
Uchaguzi Umeisha 84.4% na Wabunge Wote toka Kijani, sasa ni Kubambana na consequences zake nje na Ndani..Over.
 
Mental case!.

Yani nyuzi za 'kikuda' na 'umbea na majungu zimekuwa zikipandishwa jukwaa la siasa, Hii ili'deserve kule chitchats.
Au nyundo za EU zimewatindua ubongo zenu?
 
Hahhahaha... Haya maneno ya kwenye bavicha wa humu mitandaoni wameyaandika sana mpaka unajiuliza kulikoni?
 
Tena ungeagiza na nyama choma ya kutosha ili kuzisilizia vizuri. Hizo ni bonge la nyimbo maujumbe kama yote yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…