Akikaribia period anakuwa na hasira hamu ya unyumba inaisha dawa yake nini?

Akikaribia period anakuwa na hasira hamu ya unyumba inaisha dawa yake nini?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Rejea kichsa cha habari hapo juu naonba dawa yake pls

Huu mwaka shida sijaweza kujua siku zake na wala sina shida nazo ila ukionaaa tu mnagusana anakwambia pls nimechkka

Ukilazimisha anakupa huku anatoa machozi ujue p inakaribia

Hiki swala limekuwa shida Sana kwa shemeji yenu na kama sijashtuka naweza kumchunia siku saba nk kumbe p ishaanza

Kama kuna dawa ama mizizi ya kuchemsha naomben pls
 
Dogo acha punyeto...

Madhara yake sio kwa via vya uzazi tuu bali hata kwa akili
 
kawaida n mambo ya hormone
Haina dawa zake.mkuu akikasirika ananiogopesha kitukidogo kanyanyuka nacho kelele doh nw akikianzisha nakimbilia pub hatakama sinywi nasikiliizia hapa atakuwa ashalala
 
Nami wangu alikua hivyo, mwanzoni nilijua anakisirani ila sasa nimejua ni jambo la maumbile tu. ni kama hali ya hewa mvua ikinyesha unatafuta sehemu ya kuhijifadhi, so akionesha kisirani we kua mpole, kuhusu kula tunda si mbaya kua na uvumilivu kwa hizo siku kadhaa. wabillah taufiq
 
Mwanamke ni kiumbe anaweza badilisha mood in less than 30 minutes. Dakika moja anaweza kulia na machozi yakatoka, baadae anafurahi mpaka unajiuliza kapatwa na nini!
 
Ndio ukubwa huo. Angekuwa mkeo hapo unatafuta mpaka app ya ku track siku zake.

Ukiona ameanza kuwa na gubu basi unachungulia kwenye app kama anakaribia zile siku zake, ukiona jibu ni yes basi unamsamehe bure na kumbembeleza kabisa.
 
Mmenitiammooyo sana maana nilifikiria akilianzisha niende sehemu siku saba sio Lodge nirudi loh nkawaza wanangutu
 
Back
Top Bottom