Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvumilie.Akifika meno-pause hautapata usumbufu.Utakula mtori kwa kijiti.Rejea kichsa cha habari hapo juu naonba dawa yake pls
Huu mwaka shida sijaweza kujua siku zake na wala sina shida nazo ila ukionaaa tu mnagusana anakwambia pls nimechkka
Ukilazimisha anakupa huku anatoa machozi ujue p inakaribia
Hiki swala limekuwa shida Sana kwa shemeji yenu na kama sijashtuka naweza kumchunia siku saba nk kumbe p ishaanza
Kama kuna dawa ama mizizi ya kuchemsha naomben pls
Na bado hujamsoma tu kuepusha hiyo hali? Kuishi pamoja ni kuchukuliana, na huo ni mzunguko unaotokea kila baada ya muda fulani, inakuwa aje ngumu kwako kuendana na uhalisia?Rejea kichsa cha habari hapo juu naonba dawa yake pls
Huu mwaka shida sijaweza kujua siku zake na wala sina shida nazo ila ukionaaa tu mnagusana anakwambia pls nimechkka
Ukilazimisha anakupa huku anatoa machozi ujue p inakaribia
Hiki swala limekuwa shida Sana kwa shemeji yenu na kama sijashtuka naweza kumchunia siku saba nk kumbe p ishaanza
Kama kuna dawa ama mizizi ya kuchemsha naomben pls
haujawahi kuwa seriousYani na utu uzima huo ndo umegundua leo? Tupo hivyo tukikaribia au tukiwa Mp, ama mimba hasa changa hasira kali
Wewe ulie serious hebu sema unakuwaje ukiwa katika hiyo hali?haujawahi kuwa serious
nilitaka kusema pdidy hajawahi kuwa seriousWewe ulie serious hebu sema unakuwaje ukiwa katika hiyo hali?
OkSamahani sista nilitaka kusema pdidy hajawahi kuwa serious
Na hiyo ni indicator ya umaskini sababu utatumia muda mwingi kuwaza single line of circles,better kukawa na mpango B,hicho kislani ni jipu na ni pepo la umaskiniHaina dawa zake.mkuu akikasirika ananiogopesha kitukidogo kanyanyuka nacho kelele doh nw akikianzisha nakimbilia pub hatakama sinywi nasikiliizia hapa atakuwa ashalala