Akikaribia period anakuwa na hasira hamu ya unyumba inaisha dawa yake nini?

Yani na utu uzima huo ndo umegundua leo? Tupo hivyo tukikaribia au tukiwa Mp, ama mimba hasa changa hasira kali
 
Mvumilie.Akifika meno-pause hautapata usumbufu.Utakula mtori kwa kijiti.
 
Na bado hujamsoma tu kuepusha hiyo hali? Kuishi pamoja ni kuchukuliana, na huo ni mzunguko unaotokea kila baada ya muda fulani, inakuwa aje ngumu kwako kuendana na uhalisia?
 
Piddy mbona hivyo, yaani na ukubwa huo bado ufundishwe jinsi ya kudeal hizo mambo?

Kuna nyakati ukristo umefeli sana, kukaribia mp hadi iishe kuna siku kama 5-7 hivi, mtu ukae ukisikilizia mood ya mwenzako tu hapo, WTF!!! A man has to do what a man has to to...ts simple!!
 
Haina dawa zake.mkuu akikasirika ananiogopesha kitukidogo kanyanyuka nacho kelele doh nw akikianzisha nakimbilia pub hatakama sinywi nasikiliizia hapa atakuwa ashalala
Na hiyo ni indicator ya umaskini sababu utatumia muda mwingi kuwaza single line of circles,better kukawa na mpango B,hicho kislani ni jipu na ni pepo la umaskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…