Akikosolewa Alikiba sawa, ila akikosolewa Diamond chuki!

Tatizo ushabiki maandazi tu wengine ikibadilishwa verse kidogo tu ikawa kiingereza hta maana yke hawajui ila ndio watashabikia verse tamu kumbe hta kilichoimbwa ukiwauliza hawajui
Video haija fika hata masaa 24 lakini nenda kaangalie viewers na comment za watu wa nje...povu linakutoka mtv wameipiga ngoma mapema sana
 
Ipo hivi, ukimpenda Alikiba kindakindaki huwezi mpenda Diamond, and vise versa is true.
 
K 4 REAL ni habari nyingine uwezi kumlinganisha na chipukizi kama dimonds ambaye anaendelea kuchipukia taratibu, kiba ni jembe ni alama halisi ya mziki wa bongo R.KELLY anaujua moto wa kiba, kitu LUPELA ni kisu kingine ndani ya east africa
 
Alaa kumbe ni ndani ya East Africa hapo sina swali nilijua Ki Africa basi.
 
Ukweli Ni kwamba Wimbo wa Kiba Ni mzuri sana Ila video chafu, Wakati wimbo wa Diamond Ni mbaya Ila video Quality!! Yaani kwa lugha nyingine Kiba kapotezwa na producer wake wa video Wakati Diamond kabebwa na Producer wake wa Video.. AU tuseme tena hivi;

Ikiwa wote wawili wangeenda kufanya video kwa huyu Producer aliefanya wimbo wa Diamond basi wimbo wa Lupela ungeenda zaidi..

Ila Diamond Ni mjanja, wimbo wa kawaida sana Ila kamshirikisha AKA means tayari wimbo una mashabiki wa Tz na SA of which Ni advantage KUBWA...

Ushauri wangu kwa Kiba na Team yako yote Anzia kina Nifah mpaka kina Heaven Sent, Mwambieni Alikiba Kua afanye Mziki wake yeye as yeye, tutamuelewa zaidi, asishindane na mtu, ataenda mbali zaidi, akifanya Mziki under tension anaharibu sana, halafu shida nyingine aliyonayo Ni hasira na dharau. Kuimba na R.Kelly sio kwamba wewe Ndio unajua sana, Ni kiasi cha Time Factor tu..

Kiba na mkubali sana Ila Kiba huyu wa Sasa sio Kiba Yule wa Cinderela na Macmuga!! Atulize wenge kwanza.. Asishindane na Diamond kwanza., Atampanikisha tu.. Stand on your own music bro.. U can do it..
 
Wenye upeo mkubwa wa kuchanganua mambo watakuelewa ila wale wa uxhabiki ugoro hawatokuelewa nin unamaanixha.@ cc niffah, K 4 LIFE.
 
Mkuu Lupela haiwezi hata kuinusa hii make me sing ni video kali kiukweli imechangamka ina ladha tofauti ukilinganisha na hii ya kiba.
Ni kwamba video ina Diamond na AKA ila idea sio mpya, wameshafanya wengine kwa idea hiyo ya bank robbery, wanawake na making it rain. Nothing new in terms of idea.
Ulitegemea video ya kiba na diamond iwe na ladha moja? Wee kweli kitumbua.
 
diamondi unamkosoa kwa lipi kwa mfano boss
 
Kitumbua kwetu ni barafu kama jina lako lilivyo
 
Huu ni mtazamo wako au ulienda kusomea kuhusu video na audio nzuri? Au ni suala la HD lakuchanganya? Au ni suala la mtanzania wa kwanza kufanya video yenye bank robbery?
Video ya Diamond na AKA ina ladha yake na maidhui yake yako tofauti na lupela ya Kiba, ya ina ladha fulani nayo na video imebeba maana ya wimbo, simple and clear!
Inasikitisha na kwenye muziki wa tz sasa hivi kuna lile kundi maarufu la nyumbu.
 
jamaa kaanza kufulia kuimba nyimbo hazina mvuto tena kisa alitegemea makolabo kolabo, ushauri wa bure amwone K 4 REAL ampe darasa
 

Dimond ndo uchafu gani
 
Hii track ya Diamond ni ya kawaida na sijaona impact ya kumshirikisha AKA while ameimba badala ya Kurap.Sometimes kufanya collabo inabidi uangalie msanii ambaye mta-match nae.Mfano
Diamond +Davido
Diamond +Flava
JMakini +AKA
 
Lakini Tafadhali usifananishe Video ya Kiba na Diamond!
Diamond na Kiba hawatakiwi kufananishwa wala kupambanishwa.
 
Hii track ya Diamond ni ya kawaida na sijaona impact ya kumshirikisha AKA while ameimba badala ya Kurap.Sometimes kufanya collabo inabidi uangalie msanii ambaye mta-match nae.Mfano
Diamond +Davido
Diamond +Flava
JMakini +AKA
we ndo wasema bt Africa as whole inasema kinyume chake now...subir tu impact utaiyona soon zaidi ya Akudo...na huu wimbo ni wa wote si wa diamond peke yake,so hata linapokuja suala la idea ya how to sing and the scenes of video ni lazima washirikiane katika ilo na mwisho wakubaliane...na icho ulichokiona ndicho walichokubaliana,Mondi kaipamba sana hii ngoma km utaisikiliza vizuri!na video japo wengi walishafanya za hivi lkn hii haiondoi uzuri wake na hizi ndo video za kijanja na ndo maana zinabang sana duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…