Ukweli Ni kwamba Wimbo wa Kiba Ni mzuri sana Ila video chafu, Wakati wimbo wa Diamond Ni mbaya Ila video Quality!! Yaani kwa lugha nyingine Kiba kapotezwa na producer wake wa video Wakati Diamond kabebwa na Producer wake wa Video.. AU tuseme tena hivi;
Ikiwa wote wawili wangeenda kufanya video kwa huyu Producer aliefanya wimbo wa Diamond basi wimbo wa Lupela ungeenda zaidi..
Ila Diamond Ni mjanja, wimbo wa kawaida sana Ila kamshirikisha AKA means tayari wimbo una mashabiki wa Tz na SA of which Ni advantage KUBWA...
Ushauri wangu kwa Kiba na Team yako yote Anzia kina Nifah mpaka kina Heaven Sent, Mwambieni Alikiba Kua afanye Mziki wake yeye as yeye, tutamuelewa zaidi, asishindane na mtu, ataenda mbali zaidi, akifanya Mziki under tension anaharibu sana, halafu shida nyingine aliyonayo Ni hasira na dharau. Kuimba na R.Kelly sio kwamba wewe Ndio unajua sana, Ni kiasi cha Time Factor tu..
Kiba na mkubali sana Ila Kiba huyu wa Sasa sio Kiba Yule wa Cinderela na Macmuga!! Atulize wenge kwanza.. Asishindane na Diamond kwanza., Atampanikisha tu.. Stand on your own music bro.. U can do it..