Akikuonya uachane na mkewe, acha usilazimishe yasikukute kama haya

Yani kabla ya tukio uwe na matokeo.
Mimi matokeo nishayapanga kabla ya tukio kwamba naacha niumie kwa muda nitapoa.
Ukiumia ndo chanzo cha maamuzi magumu zaidi, na ukiacha mimi naweka ndani...
 
Wanaume kama huyo jamaa nawaonaga wapumbavu sana yaani.
Mke anauma lakini haujazaliwa nae tumbo moja.

Hivi hawajiulizi kwa nini wale tuliozaliwa nao tumbo moja ni haramu kuwaoa?
Kwa sababu ukimuoa dada yako ama shangazi yako alafu ukahisi kuna mtu anakuchukulia,wivu unakuwa spidi kali sana.

Tunawaoa wasiokuwa wa damu moja kwa moja yaanintunawaoa wale ambao damu hazijaingiliana sana kuepusha wivu wa kipumbavu kama huu wa kuua,mtu umekutana nae tu ukubwani unamuoa alafu unajifanya una wivu sana mpaka una muua ina maana wakati wote alikuwa anaishi kwa ajili yako mpaka sasa uone hafai kuishi?

Na kama mke ndio chanzo cha furaha yako ina maana unapomuua huoni kwamba utakosa furaha milele kwa kumuua?
Sasa ukishamuua nani atakupa furaha bali ndo utazidu huzuni ya kukosa furaha na huzuni ya kuua furaha yako.

Akikusaliti na ulishamuonya sana basi jua hakutaki,unachotakiwa kumhukumu ni kumwbia aendee kwa anayemchepukia.huo ndo uamuzi wa kiume japo utaumia lakini maumivu yana karibisha amani mbeleni.

Jamaa mpuuzi sana yani ila sawa.

Jamaa bwege sana yani kajipatia dhambi ya bure kwa jambo la kijinga sana.

Wanaume wenzanguu eee
"dont make a parmanent decision over a temporary circumstance"

N:B. Mke anauma
Ukioa utaelewa maana ya ndoa.. si rahisi kama unavyofikiria kiuhalisia.

Kiapo cha ndoa kina nguvu kubwa mnoo, kwa mwaname mwenye kwenye kujali familia yake hawezi kuchukulia swala la hivi kiuzembe hata kidogo.

Lazima upambane.. Ila kama ni goigoi utachukulia poa tu.
 
Hongera sana kwa mwenye mke, dawa ni hyo hyo tu. Kuna watu wanaviburi sana unatembeaje na mke wa mtu?.

Hizo maiti zingesagwa sagwa wakapewa mbwa wale.
 
Defense ya provocation inaweza kuwa applicable kama kitendo kitakuwa kimefanyika muda ule ule ambao aliwafumania.

Mazingira hayo yanaonesha kuwa kulikua na muda mrefu wa kufanya maamuzi mengine,(time for cooling) kwakuwa aliwafuata kwa muda mrefu na kuwagonga.
Road Traffic Act ndicho kitakachoangaliwa bila kujaji the reason behind kwa sababu amewagonga wale bila kujua sababu, yani hakuna sababu zaidi ya kuwa ile ni ajali tu na imetokea kwa uzembe wa dereva wa gari ama pikipiki.

Nimeandika kilichozungumzwa msibani na wenyeji, trafic walishachukua ushahidi barabarani inatosha.

Hiyo ni ajali tu bila reason behind na hapo hiyo sababu haiwezi kuwekwa, labda sijui itokee nini ndo jamaa aonekane aliuwa sababu ya wivu
 
Unawezaje kuprove kwamba hiyo sio traffic case..kwamba ameua kwa kusudia!? Tupe maelezo
Stori yako sio ya kweli ni ya kutunga. Huwezi kuwagonga watu kwa makusudi na ikawa trafiki kesi. Kuua kwa kukusudia kutabaki kuwa kosa la mauaji hata kama ametumia gari au bunduki
 
Ishu kama hii iliwai kutokea ukonga maeneo ya moshibar pale relin mjeda alikuwa na .mchepuko wake anahuudumia kwa kila kitu akaja kusikia mchupuko wake unamegwa na kijana muuza mahindi ya kuchoma pemben ya balabala mjeda akatoa onyo lakin kijana hakusikia siku ya siku mjeda akachukua gari yake adi mbele ya muuza mahindi gar ikiwa inaangaliza usawa wa muuza mahindi alifanya nini sijui au ndo mbinu za jeshi ile gar ikawa kama ilonasa vijana tulokulia uswahilin tunasema Inaslip akaita vijana waje waisukume maana imenasa kumbuka gar inasukumwa kwa mbele alipo muuza mahindi vijana ile kuisukuma tu jamaa kachochea mafuta kibat kagonga jiko muuza mahindi adi maind yenyewe mungu alikua upande wake muuza mahindi kapona ila alichokuja kumfanyia bola muuza mahindi angekufa kwa ajal ya ile gari mhhh aligeuzwa nyama za mishkaki

Nb.wanaume ikifika stej adi mwanaume mwenzio kufunga safar kuja kukupa onyo Msikilize awe mke au mchupuko achana nae...
Nani aligeuzwa mishkaki sasa
 
Yan mim hata rafik yangu wa kike akishaolewa tu, namba yake nafuta, hata akipiga sipokei mpaka atakapoacha mwenyewe. Sipendi mazoea na mke wa mtu kwa namna yoyote.
Na hata mim mke wangu sitaki awe n mazoea na watu ambao siwaamini
Mke wa mtu sumu
 
Hongera kwa hilo
 
D
Wanaume kama huyo jamaa nawaonaga wapumbavu sana yaani.
Mke anauma lakini haujazaliwa nae tumbo moja.

Hivi hawajiulizi kwa nini wale tuliozaliwa nao tumbo moja ni haramu kuwaoa?
Kwa sababu ukimuoa dada yako ama shangazi yako alafu ukahisi kuna mtu anakuchukulia,wivu unakuwa spidi kali sana.

Tunawaoa wasiokuwa wa damu moja kwa moja yaanintunawaoa wale ambao damu hazijaingiliana sana kuepusha wivu wa kipumbavu kama huu wa kuua,mtu umekutana nae tu ukubwani unamuoa alafu unajifanya una wivu sana mpaka una muua ina maana wakati wote alikuwa anaishi kwa ajili yako mpaka sasa uone hafai kuishi?

Na kama mke ndio chanzo cha furaha yako ina maana unapomuua huoni kwamba utakosa furaha milele kwa kumuua?
Sasa ukishamuua nani atakupa furaha bali ndo utazidu huzuni ya kukosa furaha na huzuni ya kuua furaha yako.

Akikusaliti na ulishamuonya sana basi jua hakutaki,unachotakiwa kumhukumu ni kumwbia aendee kwa anayemchepukia.huo ndo uamuzi wa kiume japo utaumia lakini maumivu yana karibisha amani mbeleni.

Jamaa mpuuzi sana yani ila sawa.

Jamaa bwege sana yani kajipatia dhambi ya bure kwa jambo la kijinga sana.

Wanaume wenzanguu eee
"dont make a parmanent decision over a temporary circumstance"

N:B. Mke anauma
NDIO MAANA WATU WAKO TOFAUTI, WEWE UTASAMEHE,MIMI NTAPOTEZEA, KUNA YULE AMBAYE NAFSI YAKE ILI IWE HURU LAZIMA ALIPIZE, NDIVYO JINSI TULIVYO TOFAUTI NA NDIVYO ILIVYOPELEKEA SHERIA ZIWEPO KUONGOZA
 
Haijalishi tuko tofauti.lakini kinachotakiwa zaidi ni. Kujifunza namna ya kukabiliana na matokeo tusiyoyalenda.

hakuna

HAKUNA ANAYEPENDA KUTENDA UBAYA AMA KUTENDEWA UBAYA LAKINI KWANINI YANATOKEA, NI KWA SABABU TUKO TOFAUTI, HATA KTK KUJIFUNZA KUNA KUPENDA KUJIFUNZA, KUJIFUNZA NA KUELEWA, KUJIFUNZA ILA KUSHINDWA KUELEWA, KWANINI UTOFAUTI HUO UPO BAINA YA MTU MMOJA NA MWINGINE?? NDIVYO ILIVYO HATA KTK MFUMO WA MAISHA YETU YA KILA SIKU.
 
Ule ni ujinga mzee baba.
Lau kama ingekuwa ni jambo la ghafla akaua sawa hyo ni hasira kwa sababu ukiwa na hasira akili inapungua unafikiria kidogo.

Jambo limepita mda na mda wee alafu tukio unakuja kufanya baadae,huu unakuwa ni ujinga na hasira za kihunibuni ambazo hazifai hata kutetewa kwa namna yeyote ile.

Hata kwenye sheria za Nchi mtu ambae ameua hapo hapo kwa hasira labda kamfumania mkewee na pembeni kuna kisu kisha akamchoma pale pale huyo anaweza jupata utetezi

Lakini jitu ambalo limemfuma mkewe alafu akaona hakuna kitu cha kumuulia,akafunga milango akatoka njee akaenda kutafuya silaha hukooo kisha akapata akarudi akafungua mlango akaua.huyu hana utetezi kwa sababu baina ya tukio la kufumania na tukio la kuua kumepita wakati mkubwa ambao kama ingekuwa ni hasira basi zimeshapoa na angefanya maamuzi menginee.

Sasa mkuu nashangaa unatetea uhuni kama huu bila sababu yeyote ya msingi,kusema ooooh sijui tuko tofauti mara hivi na vileee...hayo ni maneno ya kitoto ambayo hutakiwi kuyakamata mtu kama wewe bhaana.
 
Wanaume kama huyo jamaa nawaonaga wapumbavu sana yaani.
Mke anauma lakini haujazaliwa nae tumbo moja.

Hivi hawajiulizi kwa nini wale tuliozaliwa nao tumbo moja ni haramu kuwaoa?
Kwa sababu ukimuoa dada yako ama shangazi yako alafu ukahisi kuna mtu anakuchukulia,wivu unakuwa spidi kali sana.

Tunawaoa wasiokuwa wa damu moja kwa moja yaanintunawaoa wale ambao damu hazijaingiliana sana kuepusha wivu wa kipumbavu kama huu wa kuua,mtu umekutana nae tu ukubwani unamuoa alafu unajifanya una wivu sana mpaka una muua ina maana wakati wote alikuwa anaishi kwa ajili yako mpaka sasa uone hafai kuishi?

Na kama mke ndio chanzo cha furaha yako ina maana unapomuua huoni kwamba utakosa furaha milele kwa kumuua?
Sasa ukishamuua nani atakupa furaha bali ndo utazidu huzuni ya kukosa furaha na huzuni ya kuua furaha yako.

Akikusaliti na ulishamuonya sana basi jua hakutaki,unachotakiwa kumhukumu ni kumwbia aendee kwa anayemchepukia.huo ndo uamuzi wa kiume japo utaumia lakini maumivu yana karibisha amani mbeleni.

Jamaa mpuuzi sana yani ila sawa.

Jamaa bwege sana yani kajipatia dhambi ya bure kwa jambo la kijinga sana.

Wanaume wenzanguu eee
"dont make a parmanent decision over a temporary circumstance"

N:B. Mke anauma
Kugongewa mke na Huku unajua sio jambo la mchezo.Nina imani hata we ukija Gongewa na ukiwa unajua utakachofanya mpaka Sasa hivi bado hujajua.Usimcheke jamaa hata kidogo,wivu uliowekwa pale mahali ni wa ajabu mno
 
Hahahahhaha huu uzi unachekesha sana
Kumbe ndo kiama chenu ehh
 
Ule ni ujinga mzee baba.
Lau kama ingekuwa ni jambo la ghafla akaua sawa hyo ni hasira kwa sababu ukiwa na hasira akili inapungua unafikiria kidogo.

Jambo limepita mda na mda wee alafu tukio unakuja kufanya baadae,huu unakuwa ni ujinga na hasira za kihunibuni ambazo hazifai hata kutetewa kwa namna yeyote ile.

Hata kwenye sheria za Nchi mtu ambae ameua hapo hapo kwa hasira labda kamfumania mkewee na pembeni kuna kisu kisha akamchoma pale pale huyo anaweza jupata utetezi

Lakini jitu ambalo limemfuma mkewe alafu akaona hakuna kitu cha kumuulia,akafunga milango akatoka njee akaenda kutafuya silaha hukooo kisha akapata akarudi akafungua mlango akaua.huyu hana utetezi kwa sababu baina ya tukio la kufumania na tukio la kuua kumepita wakati mkubwa ambao kama ingekuwa ni hasira basi zimeshapoa na angefanya maamuzi menginee.

Sasa mkuu nashangaa unatetea uhuni kama huu bila sababu yeyote ya msingi,kusema ooooh sijui tuko tofauti mara hivi na vileee...hayo ni maneno ya kitoto ambayo hutakiwi kuyakamata mtu kama wewe bhaana.
SIJATETEA NDUGU, UNGERUDI VIZURI KUSOMA UNGEELEWA NAMAANISHA NINI, MSINGI WA HOJA YANGU NI KUWA HUWEZI FANYA SAWA KILA MTU, ILI JAMII IKAMILIKE LAZIMA VITU KAMA HIVYO VIWEPO MAANA JAMII HUJENGWA NA WATU TOFAUTI,KAMA WEWE ULIVYO HUWEZI KUWA SAWA NA YULE MWINGINE, YEYE ALIONA INAFAA KUFANYA ILIHALI SI SAWA JE ULITAKA AFANYE KAMA ULIVYOFANYA WEWE, IF WE COULD HAVE A SMART SOCIETY AS U WANT THEN THE LAWS SHALL BE USELESS, KWANINI IMEWEKWA SHERIA, POLISI, MAHAKAMA NA HUKUMU??? NI KWA SABABU WATU KAMA HUYO WAPO WENGI NDANI YA JAMII, i think utakuwa umeelewa nachomaanisha sasa.
 
Back
Top Bottom