Akili Bandia ya 'Bard AI' sasa inakubali lugha ya Kiswahili

Tuko dunia ya innovation mkuu

Unewahi kutumia computer yenye OS ya Kylin?

Kylin wana int'l intellectual property rights nothing copied from Linux

Kylin ilitengenezwa na China National University of Defense Technology
Kylin ni copy ya Linux, hapo bado hawajagundua. Ni sawa na kuchukua Android OS halafu ukai-modify ukaita Tigi android OS halafu ukasema ni tofauti na android wakati zinatumia application za android
Kylin - the operating system of the Tianhe-1 supercomputer is 64-bit Kylin Linux.
Linux, computer operating system created in the early 1990s by Finnish software engineer Linus Torvalds and the Free Software Foundation (FSF). While still a student at the University of Helsinki, Torvalds started developing Linux to create a system similar to MINIX, a UNIX operating system.

Hapo kwenye Linux kuna Ubuntu, kali na ndugu zake wengine. Kwahiyo mchina bado hajagundua ila kamodify kutoka kwa Linux OS ndiyo maana inaitwa Kylin LINUX.
Nataka OS ambayo mchina kavumbua bila kucopy kutoka kwenye OS zingine.
Mfano. angalia hizi os za kipekee
  • Android by Google
  • Windows operating system unawakuta Microsoft nao ndiyo waanzilishi
  • Windows phone
  • Blackberry OS
  • iPhone Operating system
  • Nokia Symbian operating system
Nataka Operating system ambayo kavumbua mchina bila kucopy kutoka kwenye OS zingine
 
Kwanini hausemi android ni copy ya linux?
 
Linux, computer operating system created in the early 1990s by Finnish software engineer Linus Torvalds and the Free Software Foundation (FSF). While still a student at the University of Helsinki, Torvalds started developing Linux to create a system similar to MINIX, a UNIX operating system.
Kylin Linux ni copy ya linux, ni sawa na uchukue Windows ya Microsoft, uongeze feature yako halafu useme ni OS yako.
*Nataka aliyotengeneza mchina mwenyewe bila ya kucopy kwa mtu. Kama umeshawahi kutumia Symbian, Blackberry OS, Windows phone, Android na IOS.
Ipo phonex OS
 
Back
Top Bottom