Akili, hekima, busara, ufahamu na jk

Akili, hekima, busara, ufahamu na jk

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,198
Ndugu wana Jf kwanza naomba msaada wa kunitofautishia hayo maneno manne ya kiswahili. Pili naomba kufahamu mwenyekiti wa chama cha magamba anapungukiwa kipi kati ya hayo?
 
ana mtindio wa brain, anaona kubembea Jamaica ni raha kuliko kutatua kero za wabongo
 
chama cha magamba ndo kipi hicho
Ndugu wana Jf kwanza naomba msaada wa kunitofautishia hayo maneno manne ya kiswahili. Pili naomba kufahamu mwenyekiti wa chama cha magamba anapungukiwa kipi kati ya hayo?
 
Jamani msaidieni Karry maana hajafahamu chama cha magamba ni kipi, anaweza akawa na jibu sahihi once ajuapo hicho chama
 
Back
Top Bottom