oil chafu haiwezi kuchafuliwaHabari,
Nikiri kwa kusema yote yasemwayo kwa sasa yana asilimia kubwa ya uongo kuliko uhalisia. Na shida kubwa ni kutafuta neutrality ili watu waone mtu wao waliyemkubali na kumpenda alikuwa muuaji na katili.
Tujiulize JPM amefariki 2021 why now kwamba alikuwa mkatili na mengineyo.
Mwisho, za kuambiwa changanya na zako.
Habari,

Kweli kabisa2025, hamna walichofanya tangu 2021 zaidi ya kuizamisha nchi kwenye deni kubwa lisilomithilika...angalau chizimkazi kule wanasema "mama anakuenzi kwao kwa gharama za watanganyika"
Na si ajabu bajeti ya kumchafua Magu ni mabilioni, kama ile iliyotumika kuhalalisha DPW, akina chawa wakafikishwa mpaka Dubenga!
Mbona 2021 hiyo hiyo kuna kitabu kilizinduliwa kuonyesha ukatili wa JPM.Habari,
Nikiri kwa kusema yote yasemwayo kwa sasa yana asilimia kubwa ya uongo kuliko uhalisia. Na shida kubwa ni kutafuta neutrality ili watu waone mtu wao waliyemkubali na kumpenda alikuwa muuaji na katili.
Tujiulize JPM amefariki 2021 why now kwamba alikuwa mkatili na mengineyo.
Mwisho, za kuambiwa changanya na zako.
Kama ni uongo je ukweli ni upi? Saanane yuko wapi? Aliyempiga Lissu ni nani? Kama serikali imeshindwa kuwataja basi Acha Kabendera awataje.Nikiri kwa kusema yote yasemwayo kwa sasa yana asilimia kubwa ya uongo kuliko uhalisia
Kwa mfano wewe unadhani sera gani zimekosekana za kumuuza Samia?Habari,
Nikiri kwa kusema yote yasemwayo kwa sasa yana asilimia kubwa ya uongo kuliko uhalisia. Na shida kubwa ni kutafuta neutrality ili watu waone mtu wao waliyemkubali na kumpenda alikuwa muuaji na katili.
Tujiulize JPM amefariki 2021 why now kwamba alikuwa mkatili na mengineyo.
Mwisho, za kuambiwa changanya na zako.
Uzuri haya mambo ya kabendera au kibendera yako humu JF na X tu basi.2025, hamna walichofanya tangu 2021 zaidi ya kuizamisha nchi kwenye deni kubwa lisilomithilika...angalau chizimkazi kule wanasema "mama anakuenzi kwao kwa gharama za watanganyika"
Na si ajabu bajeti ya kumchafua Magu ni mabilioni, kama ile iliyotumika kuhalalisha DPW, akina chawa wakafikishwa mpaka Dubenga!
Wafuasi wa Mwendazake mnahangaika sana π€£π€£Mkakati wao ni kuwapumbaza wananchi wananchi wasihoji rekodi yaona hizi hekaya za abunuwasi.
Huyu wanayemtukana angekuwa hai hii miaka minne hadi 2025 hii nchi ingekuwa mbali sana.
Kila kitu kimewashinda, umeme, maji, uwajibikaji, nidhamu, SGR, kumalizia bwawa la umeme, kulinda rasilimali za taifa, kuthibiti mfumuko wa bei, wamebaki kutunga vitu na kutumia vyama pinzani, machawa kuwahadaa wananchi.
Kwa akili zako kazi ya usalama wa taifa ni Nini? Hadi waruhusu raisi et akatake kumbaka Viceπππ. Wanawake wengi wazuri akaangaike na bibi kizee yuleπππWafuasi wa Mwendazake mnahangaika sana π€£π€£
Mtu katoa kitabu Kwa yaliyomsibu mnaanza kuleta ujinga kisa ameandika msiyopenda ila mliyafanya π€£π€£
I am the stateKipi hicho?
Kama waliruhusu katibu wa Rais kikwete achukue mabilion ya fedha za Tegeta Escrow kwenye sandarusi ndio watashindwa kuzuia hayo mengine? Hao TISS mbona waliruhusu makotena ya makinikia yasafirishwe? Unadhani ni smart ni vilaza tu waliopewa vyeo.Hadi waruhusu raisi et akatake kumbaka Viceπππ.
Mbona Clinton alikua anamkula secretary wake? Kwani alikosa warembo huko mtaani? Au mbona watu hubaka mahousegirl tena wachafu chafu wakati huko nje kuna pisi kali? Ukiwa kwenye influence ya alcohol unaweza fanya chochote mbele yakoHadi waruhusu raisi et akatake kumbaka Viceπππ. Wanawake wengi wazuri akaangaike na bibi kizee yuleπππ
Kakisome kina mambo ya kutisha zaidi.Hayo ya ubakaji na kumuua Ben yapo?