KDF-BabaYao
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 221
- 317
For a long time nimekuwa nikilurk hapa but ikabidii sasa nianze kutoa maoniWanajifanya eti hawajui sisi ndio tumeifanya hii forum ikajulikana nje ya Tanzania...let them continue...tutaelewana tu
Tekinolojia ya drone ipo kitambo sana,
Ifike pahala hata wakenya tususie hii forums, mtu aje na forums kali aiweke kwa lugha ya kiswahili kabisa na awavute haswa wacongo na waganda, watakuja tu...hii iwe strategy ya kuwaangusha hawa, wamekuwa na siasa chafu sasa.Wame delete ile thread nyingine....that's why mimi huingia jf after two weeks cause imekuwa too political
suicide drones would be better yani enemy airdefences na artillery would be wiped out before ground troops advance.Wacha sasa tuingie ligi ya kutengeneza zile drone size ya Cessna aircraft...
Yani tutakuwa na air superiority
That is what i realized too.. Post any negative TZ news... They are removed immediatelyIfike pahala hata wakenya tususie hii forums, mtu aje na forums kali aiweke kwa lugha ya kiswahili kabisa na awavute haswa wacongo na waganda, watakuja tu...hii iwe strategy ya kuwaangusha hawa, wamekuwa na siasa chafu sasa.
Nakumbuka uzi wangu kuhusu mafuriko na uchafu Dar ulifutwa upesi kwa ghadhabu.
shenz sana hawa.
Unaleta hoja alafu unawaita wachangia hoja majina ya kijinga bas baki na hoja yako.Hustler wwDah! Mbona yale makajamba yamekawia kutokwa ushuzi humu, hongereni muendelee hivyo, taratibu mtatia akili na kufikia ukomavu.
Unaleta hoja alafu unawaita wachangia hoja majina ya kijinga bas baki na hoja yako.Hustler ww
Pale Ktalk tukona potential lakini siunajua tunapenda maneno "siwez mind kulipa soo mbili" ama "tamu kama sunguch".Ifike pahala hata wakenya tususie hii forums, mtu aje na forums kali aiweke kwa lugha ya kiswahili kabisa na awavute haswa wacongo na waganda, watakuja tu...hii iwe strategy ya kuwaangusha hawa, wamekuwa na siasa chafu sasa.
Nakumbuka uzi wangu kuhusu mafuriko na uchafu Dar ulifutwa upesi kwa ghadhabu.
shenz sana hawa.
Unaona vile Armenia wanakanyagwa😂, yani infantry inabaki kuwa cannon forder..suicide drones would be better yani enemy airdefences na artillery would be wiped out before ground troops advance.
Kenya tunatengeneza rifle zetu, ka mkao wa kuliaTekinolojia ya drone ipo kitambo sana,
Tengenezeni kitu kipya,mfano alexander kalashnikov alitengeneza bunduki mwaka 1947,leo inaitwa AK 47,au mashine gun.
Israel Wana UZI,nyie chenu pekee mlichotengeneza ni kipi?
Hapo utakuta kampuni kutoka ulaya imekuja Kenya ikafungua kiwanda na kuleta tekinolojia,
Wana bahati mimi sio president, budget kubwa ingeenda kwa jeshi kudadadeki. Wale jamaa wanafaa vifaa vya maana, alafu zile G3 jamani si watoto wa watoto wetu watazipata tu. I hate those things(venye zinakaa 😂😂😂😂)Unaona vile Armenia wanakanyagwa😂, yani infantry inabaki kuwa cannon forder..
Wacha tu tuanze na hizi surveillance infact every ground unit should have some. Whoever owns the skies wins..
From gsu to army
Wabongo tuko wapi katika hii jamanini?
Kamati ya roho chafu assemble and give this man an answerWabongo tuko wapi katika hii jamanini?