Akili kubwa kuhusu Diamond Platnumz Vs Ali Kiba

Mi Baby kwenye msambwanga, Siendagi ngenge ni nganganga
 
Hata kiba akiona sifa anazopewa tofauti na sauti anawacheka sana na wanampa cfa ambazo hana hamjui kuwa mnamdhalilisha mwenzake anarundika tuzo za kimataifa yy anarundika majungu kuweni basi
 
Mi Baby kwenye msambwanga, Siendagi ngenge ni nganganga
 
Huwa nacheka mashabiki wa Ali Kiba wanapomlink na R. Kelly, jamani ile ilikuwa ni project na wala sio juhudi za Kiba. Mbona wasanii wengi tu Afrika walikuwa kwenye hiyo project?

Tunataka tuone Kiba kasimama mwenyewe na kufanya project na msanii mkubwa walau hata wa afrika, muache kusafiria project ya One8.
 
Alikiba angekuwa anaitwa mwajuma kiba kweli ningekuwa namcfia kwa sauti yake ila mwanaume then unamwita ana sauti nzuri wakati hata kimuziki ajajiandaa kabisa katuaibisha sana watanzania alivyokuwa kwenye tuzo za MAMA AWARD south afrika hata kuongea kiingereza hawezi sasa msanii gani yani kwa upande wangu namuona bado sana tena ajipange yani hata ukimshindanisha na MAN FONGO hafui dafu man fongo yupo juu zaidi ya kiba
 
Kalaleni kesho muwahi shule.
 
Kinachomponza ali kiba ni uswahili yeye anajiona bora sana
 
Ni upuuuzi kusema alishirikishwa nyimbo ya one8 utachekwa ile ilikua ni airtel project na hakuwa kibakuli kutoka africa walikua kibao kina fallyipupa amani navio 2face nk..
Itabaki hivo hivo kua alishiriki time will tell.
 
9. Diamond anajijua cyo mwanamzik Bali ni msanii ivo anatumia kila awezalo kujibrand (swaga, kucheza na kuburudisha kwa ujumla etc) Alikiba anajijua ni mwanamzik hivyo haoni umuhim wa kufanya hayo kivile ili kujibrand anaamin Juu ya saut take tu!
"Diamond ni msanii, Kiba ni mwanamziki"... kwani diamomd ni mchonga vinyago au mwanamaigizo?

hii kauli naona inatumika sana humu jf,ila watu hawajawahi kututofautishia kinachomfanya diamond yeye kuwa msanii na sio mwanamziki na wakati huo huo kiba kuwa mwanamziki na sio msanii...watu mnashindwa kuelewa kuwa neno Sanaa ni neno pana ambalo ndani yake linazaa vipera vyake au tunaita tanzu za sanaa...sasa nenda kasome hizo tanzu za sanaa halafu uje utuambie Kiba anaingia wapi na Mondi anaingia wapi kwa usahihi.
 
Tatizo walikimbia shule.Hawajui FASIHI KWA UJUMLA.
 
Diamond anapiga gitaa,ngoma na kinanda,Alikiba anasema yoooo,Diamond ni mwanamuziki na mwanasanaa aliyekamilika.
 
Next time tuhesabie mpunga na upigaji kazi na pia wanajiongezaje.
 
Diamond anajituma kimuziki na hana ufitini. Aendelee kutuwakilisha vyema Tz.
Wimbo wake wa mawazo ninaupenda mnooooo.
 
3. Diamond ni msanii Alikiba ni mwanamzik ( kumbuka mzik umo ndan ya sanaa)
Hongera kwa kulijua hilo na huenda ambalo hukulifahamu ni kwamba, ni kwavile Diamond ni Msanii ndio maana always yupo juu!

What's the difference between Artist and Musician:
answers.com : ARTIST: 'Artist' refers to any kind of creative person - singer, musician, painter, dancer, writer etc. A 'musician' is an artists who performs specifically through the medium of music. But I have to say, A musician is not an artist. An artist is what a musician becomes once they become successful and completely forget what being a musician is.

Kwamba, MSANII ni daraja la juu... mtu anaanza kuwa MWANAMUZIKI na baada ya kuwa SUCCESSFUL na kusahau kila kitu kuhusu uanamuziki; ndipo anakuwa MSANII! Huwezi kufikia daraja la usanii bila kuwa creative enough (artist trait).

I pray for Kiba one day so he becomes successful and completely forget what being a musician is and become an artist!
 
Mi nadhani kwa kigezo cha sauti pekee itakuwa si sahihi muhimu ni aina ya muziki wako na vikorombwezo vingine !maana kama muziki ni sauti tu basi waimba raga mufin na dance hall music tungewapa pole maana shaba buju na wengineo wanasaut mbaya!
 
UUmemaliza kila kitu......mziki unaujua pia
 
Kaka mawazo yako huwa yapo very unique na kuonyesha kuwa ww ni homa huwa wanaogopa hata kuku quote.....thumb up
 
Chibu ni mtunzzi mzuri mashairi yake ni on point ila kiba hapana kwakweli mashairi yake anayajua mwenyewe
 
Check live performance.. Uta notice Ally Kweny saut ni mzur Kuliko Diamond

Pia comment za Wajuzi wa muziki.. Wanatoa credit kwa kiba when t comes to voice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…