Akili kubwa: Tundu Lissu ameshawahutubia BAWACHA kabla ya Hotuba ya Mgeni rasmi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mgeni rasmi kwenye Uchaguzi wa Bawacha anategemewa Kuwa Mbowe na hii ilipangwa Kwa umakini ukizingatia Bawacha ni Jeshi kubwa

Jana Tundu Lisu kamuwahi Mwenyekiti wake Kwa hotuba yake mitandaoni ya kuwataka wamchague mama Simba

Chadema ina wasomi wa vipaji aisee 😂😂😂

Happy New Year 🌹
 
Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni!。
P
 
Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni!。
P
Hii kambi ni ya kukurupuka, wapo ki vita vita sana.
Wajumbe wapo makini - naungana na wengine kwamba hawa jamaa 4 hawana nia njema na CDM ( Msigwa, Lema, Lissu, Heche)
Wajumbe mnajua CDM mlikoitoa, kateni huu mzizi wa fitna watanzania wanawategemea na wana imani na nyie.
 
Lisu ukiangalia.ni wazi kaamua kuivuruga Chadema na kutimka.kuhama chama

Unaona wazi kabisa kuwa si mgombea ni mvutagaji na mchafua chama tu
Anajus hatashinda hivyo kaamua kupaka matope sana

Wajumbe wasimpe kura kweli
 
Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni!。
P
Usiwafananishe CHADEMA na Mbogamboga! Hayo ni maneno yenu CCM ili kuhalalisha ufedhuli wenu wa wizi wa kura.

CHADEMA ni chama cha wenye akili na wanaojitambua. Hivyo uliyoyaona kwenye uchaguzi wa BAVICHA ndo yatatokea kote.
 
Hii kambi ni ya kukurupuka, wapo ki vita vita sana.
Wajumbe wapo makini - naungana na wengine kwamba hawa jamaa 4 hawana nia njema na CDM ( Msigwa, Lema, Lissu, Heche)
Wajumbe mnajua CDM mlikoitoa, kateni huu mzizi wa fitna watanzania wanawategemea na wana imani na nyie.
James Mbowe: Lema siyo Mchagga

😂😂😂😂😂😂
 
Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni!。
P
Mkuu hii akili ndogo hivi umeiazima wapi? Unaweza kushindwa analysis ndogo tu kama hii walau kujua kuwa wajumbe hawa ni top structure ya uongozi katika chama. Hawa ni watu ambao angalau 90% hawakosi smartphone, hivyo probability ni very likely watakuwa whatsup (at least). Ni kujipumbaza kufikiri eti hawa wapiga kura wa BAWACHA hawako kwenye mitandao.

Kufikiri kwa namna hii hakuweza kuwa au kutoka kwa mtu kama @Mayalla🤔
 
Back
Top Bottom