johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni๏ผใMgeni rasmi kwenye Uchaguzi wa Bawacha anategemewa Kuwa Mbowe na hii ilipangwa Kwa umakini ukizingatia Bawacha ni Jeshi kubwa
Jana Tundu Lisu kamuwahi Mwenyekiti wake Kwa hotuba yake mitandaoni ya kuwataka wamchague mama Simba
Chadema ina wasomi wa vipaji aisee ๐๐๐
Happy New Year ๐น
Mgeni rasmi kwenye Uchaguzi wa Bawacha anategemewa Kuwa Mbowe na hii ilipangwa Kwa umakini ukizingatia Bawacha ni Jeshi kubwa
Jana Tundu Lisu kamuwahi Mwenyekiti wake Kwa hotuba yake mitandaoni ya kuwataka wamchague mama Simba
Chadema ina wasomi wa vipaji aisee ๐๐๐
Happy New Year ๐น
Uzuri Ujumbe umefika ๐Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni๏ผใ
P
Uliwahesabu lini?Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni๏ผใ
P
Hata kwa zama hizi na bawavha wengi wana touch screen phones?Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni๏ผใ
P
NAhis umekosea yamkini ulilenga kuaema kuwa "watu wa mtandaoni sio wapiga kura".Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni๏ผใ
P
Na angetueleza kwamba mitandaoni si watu ni robots.NAhis umekosea yamkini ulilenga kuaema kuwa "watu wa mtandaoni sio wapiga kura".
Lakin kwa ulichokisema, sio sawa
Paskali usijidanganye mwana wane!!Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni๏ผใ
P
Hii kambi ni ya kukurupuka, wapo ki vita vita sana.Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni๏ผใ
P
Wewe ndiye unatakiwa ufe kwanza na jina lako la uongo.Chadema ife tu
Majambazi na magaidi hawa
Lisu ukiangalia.ni wazi kaamua kuivuruga Chadema na kutimka.kuhama chamaHii kambi ni ya kukurupuka, wapo ki vita vita sana.
Wajumbe wapo makini - naungana na wengine kwamba hawa jamaa 4 hawana nia njema na CDM ( Msigwa, Lema, Lissu, Heche)
Wajumbe mnajua CDM mlikoitoa, kateni huu mzizi wa fitna watanzania wanawategemea na wana imani na nyie.
Usiwafananishe CHADEMA na Mbogamboga! Hayo ni maneno yenu CCM ili kuhalalisha ufedhuli wenu wa wizi wa kura.Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni๏ผใ
P
James Mbowe: Lema siyo MchaggaHii kambi ni ya kukurupuka, wapo ki vita vita sana.
Wajumbe wapo makini - naungana na wengine kwamba hawa jamaa 4 hawana nia njema na CDM ( Msigwa, Lema, Lissu, Heche)
Wajumbe mnajua CDM mlikoitoa, kateni huu mzizi wa fitna watanzania wanawategemea na wana imani na nyie.
Mpare wa gonja kwetu.James Mbowe: Lema siyo Mchagga
๐๐๐๐๐๐
Mkuu hii akili ndogo hivi umeiazima wapi? Unaweza kushindwa analysis ndogo tu kama hii walau kujua kuwa wajumbe hawa ni top structure ya uongozi katika chama. Hawa ni watu ambao angalau 90% hawakosi smartphone, hivyo probability ni very likely watakuwa whatsup (at least). Ni kujipumbaza kufikiri eti hawa wapiga kura wa BAWACHA hawako kwenye mitandao.Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni๏ผใ
P
Kabisa, umekufikia ujumbe kuwa wapiga kura sio watu wa mitandaoni.Uzuri Ujumbe umefika ๐
Tatizo wajumbe wengi wana smartphoneTatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni๏ผใ
P