Akili kubwa zinavyo handle migogoro

Ni Kama Magufuli alivyo na ndoto za alinacha za kubomoa upinzani, ndoto hizo ziliwafanya makaburu waangukie pua.
The more you get problems the more you build confidence to being a winner.
Sasa badala ya kusambaratisha upinzani ndo wana gain support kubwa mno hadi nje ya nchi, ndoto hizo alikuwa nazo pia Laurent Gagbo wa Ivory Coast, kilichomkuta wenyewe mnajua.
Ktk maisha huwa hakuna master, ndo maana ili USA iendelee kuwepo ni lazima ikae vizuri hata na mataifa madogo.
Unaposhika kinyesi ili kumpaka mtu anaweza kukukwepa kinyesi kikabakia kwako.
Tuwe na akiba, tusiwafanyie watu mambo mabaya, makaburu hawakutarajia Kama ile nchi ingechukuliwa na weusi Ni Kama CCM inavyoimba kutawala milele sijui kwa lipi, Wakati mtawala wa milele ni Mungu tu.
Muda utakuja kuongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…