marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Theories can be turned to actions,its a matter of choicetheories at work
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Theories can be turned to actions,its a matter of choicetheories at work
Njoo MkuuJukwaa international forum kitambo sana, nitarudi huko tuje kuangalia latest military technology
Ni Kama Magufuli alivyo na ndoto za alinacha za kubomoa upinzani, ndoto hizo ziliwafanya makaburu waangukie pua.Robert Schuller katika kitabu chake cha Tough Time never last but tough people do; akimaanisha nyakati ngumu hazidumu lakini lakini watu hodari hudumu ameelezea mambo ambayo huwafanya watu hodari kufanikiwa kupita katika nyakati ngumu na kufanikiwa zaidi na zaidi; Tunaeza ona
-Donald Trump aliwahi kufilisika lakini haikuchukua muda akarudi tena kwenye .
chati;
-Steve job naye aliwahi kufukizwa kwenye kampuni yake mwenyewe aliyoanzisha lakini baada ya muda alirudi tena akiwa na nguvu na kuibadili tena Apple inc.
-Lakini wakati huo huo tunaona baadhi ya watu mfano wanaoshinda bahati na sibu hata wapate fedha nyingi kiasi gani baada ya muda mfupi hurudia hali zao za mwanzo;
-Lakini pia binadamu wengine wengi 94% wakipata changamoto kubwa au ndogo huishia kulaani, kukata tamaa na wengine kujiuwa.
-Wakati napitia kamusi ya Kichina na Kijapani nimetafuta msamiati wa Crisis nikagundua hawana; ila wao crisis inasimamiwa na neno Opportunity yani fursa; Ndio maana haya Mataifa yalipopitia nyakati ngumu, mfano Japan baada ya vita ya pili ya dunia uchum wake ulikuwa kwa kasi ya ajabu; Uchina kipind cha mgogoro wa Uchumi 2008 ndio walinufaika zaidi wakati ulaya na marekani zikilia.
*NINI KINACHOTOFAUTISHA TOUGH MEN NA WEAK MEN KATIKA CRISIS?*
Katika kitabu kinachoitwa Mgodi Kati kati ya masikio yameelezwa ka kina sana, na nakala tete inapitakana, henryest600@icloud.com
+8613164621057
Tough men wanajua haya
1.Kila binadamu ana matatizo yake; maisha yasio na matatizo ni ndoto za alinacha.
2.Kila tatizo au mgogoro lina muda wake wa ku expire, kama ulivya kila mlima una kilele na pia una bonde, Hakuna ambaye anakuwa juu siku zote hivyo hivyo hakuna ambaye atakuwa chini siku zote.
3.Kila tatizo hubeba fursa zilizojificha ndani yake; mfano wachina katika mgogoro wa Kiuchumi duniani 2008 kwao waliona ni fursa ya kununua viwanda vingi vya wamarekani pamoja na nyumba nyingi marekani wakati wao walikua wanalia.
Kila changamoto ina fursa imejificha ndani yake.
4.Kila tatizo litakubadilisha; ni kama dhahabu ili iwe safi lazima ipite kwenye moto.
5.Wewe ndio utachagua tatizo ulilopata likufanyie nini? Either stress au likujenge
6.Kama mjuavyo tunaishi katika dunia ya uwili ( duality) kila kitu kina pande mbili. Kuna nguvu hasi na nguvu chanya katika kila tatizo: There is a positive and negative reaction to every problem.
- Unaeza nicheki whatsapp kwa namba izo Hapo juu kupata kitabu changu cha namna ya kujitambua zaidi na kutumia laws of universe, kujitawala, kutawala mazingira na kutengeneza mawazo mapya. au kwa email henryest600@icloud.com