Akili kubwa

fizgame

Member
Joined
Oct 19, 2016
Posts
48
Reaction score
40
Upo zako Ugenini Umetulizana Kwenye Sofa Unawaza mambo yako yanavyo kwenda Ndivyo Sivyo, Ghafla Unaskia Sauti Ikiongea kutoka Jikoni,, Mnamuamini Vp Kumuacha Pekeyake Sebleni [emoji16][emoji16][emoji16]Hapo ndo utajua kweli Umechoka kias kwamba mpaka huaminiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu wengine mionekano inatuhukumuu...
Yaani mtu ukimuangalia tuu usoni nafsi haitulii...
Kukipotea tuu kituu watu wanamgeukia yeye kwanza,

Ka sura kama ka Mtanga..
Haeleweki analia, anacheka, anatabasamu, anamaumivuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…