fizgame
Member
- Oct 19, 2016
- 48
- 40
Upo zako Ugenini Umetulizana Kwenye Sofa Unawaza mambo yako yanavyo kwenda Ndivyo Sivyo, Ghafla Unaskia Sauti Ikiongea kutoka Jikoni,, Mnamuamini Vp Kumuacha Pekeyake Sebleni [emoji16][emoji16][emoji16]Hapo ndo utajua kweli Umechoka kias kwamba mpaka huaminiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]