Akili kumi za kuiteka pesa

Akili kumi za kuiteka pesa

Tanzanian Dream

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2024
Posts
274
Reaction score
1,771
Hello money hunters!

Leo nimeona niungane na Tony robbins aliyesema",90%ya mafanikio ya mtu ni psychology and only 10% ni mechanics"
kwenye harakati za utaftaji psycholojia yako ina matter zaidi kuliko msuli wako,kuliko ile bidii yako ya kimwili,mental capacity ndio imebeba Siri za kuiteka pesa,lengo la uzi huu sio kukufanya uwe na hela nyingi ila uwe na hela zitakazo kuwezesha kuishi aina ya maisha unayoyataka.

Wayahudi wanausemi wao mmoja uko harsh kidogo,wanasema umaskini ni kuishi maisha usiyoyataka,ni kuwa na kiwango kikubwa cha matamanio badala la kufurahia ulichonacho,maskini anafanana na maiti,utofauti wao ni kwamba,maskini ana very few choices na maiti haina choice kabisa,
wadau Umaskini ni mbaya nje,ndani,sisemi wote tuwe matajiri nasema at least uwe na mkwanja utakaokuwezesha kuishi life style anayoitaka.

Twende Sasa kwenye akili kumi za kuiteka pesa

1. Be purposeful and realistic(panga kiwango cha pesa unachohitaji na kwanini unataka kiasi hicho)

Kwenye ulimwengu wa fedha ni muhimu kujua unataka fedha kiasi gani kwa muda gani ili uishi aina gani ya maisha,usiseme tu nataka kuwa tajiri au nataka kuwa na hela nyingi,sema nataka niwe na uwezo wa kuingiza kiasi flani kwa mwaka,mwezi,wiki au hata kwa siku then pambania iwe kweli,mfano unaweza kusema nataka kuwa na assets za kuniingizia milion 1,2,3... kwa mwezi ili niishi maisha ya kiwango flani,hapo utaanza ku makesense na milango ya fedha itaanza kufunguka.

2.uwe na kipato kinachoongezeka over time

Kwa kadiri muda unavyozidi kwenda,pesa inapungua thamani yake,yaani ule uwezo wa kununua kitu unapungua,hii kitaalamu inaitwa "inflation"sasa ili usiwe mhanga hakikisha unafanya harakati kukuza kipato chako,bora kipato kidogo kinachokua kuliko kipato kikubwa ambacho hakikui,always tafuta namna ya kuongeza 0 mbele ya namba.

3.Cash cow

Hii inaweza kuwa ni ajira ambayo unalipwa mshahara mkubwa au biashara inayoingiza faida kubwa,lengo ni kupata nguvu ya kupush projects zako zingine kwa kasi ya 5G,usifanye biashara ilimradi unaskuma siku,chungulia kwa mbali uone Kama yaliyomo yamo,fanya utafiti ufanye mishe gani ambayo utapiga mishindo ya maana,acha kupoteza muda.

4.Financial friend

Jenga urafiki na taasisi za kifedha Kama banks,saccos,microfinance,credit unions na zingine,binafsi nikihamia mkoa wowote lazima nijiweke karibu na wadau Kama hao,lengo langu ni kwamba muda wowote nikihitaji pesa niipate kirahisi,Kuna jamaa alikuwa na kiwanja chake anakiuzia shida,anataka 3M,akanicheki nikamwambia nipe siku mbili tufanye biashara,sikua na hiyo cash mkononi so nikaingia bank nikavuta mkopo,nikampa jamaa chake,baada ya wiki nikakiweka kiwanja sokoni,mteja akafika 10 M,nikawarudishia bank 3.6M yao nikavuta profit 6.4M chap ndani ya mwezi,benki ukiwafanyia hivyo walah! watafunga ndoa na wewe,wadau kutengeneza pesa nyingi inatakiwa uwe na uwezo wa kuconnect dots.

5.Tengeneza emergency fund

Tenga kiasi flani Cha pesa for uncertainties,lolote laweza kutokea,unaweza kufukuzwa kazi,biashara zinaweza kuteketea kwa Moto na huna bima,E-fund ndio inakuwa bima yako,Kama wewe ni mfanyabiashara,ithaminishe biashara yako + gharama za maisha kwa miezi at least mitatu,kiasi utakachopata kitenge Kama emergency fund yako,kufanya hivyo utajiondolea financial pressure wkt wa uncertainties.

6.tengeneza ukwasi(liquidity)

Ukwasi ni kuwa na Mali ambayo ni rahisi kuigeuza kuwa pesa ndani ya muda mfupi,hakuna tajiri duniani ambaye hana ukwasi(liquid assets ie CDs,gold&silver,bond za ukwasi,baadhi ya hisa za makampuni nk),faida yake ni pale ambapo fursa imekuja halafu huna cash,unachokifanya ni kuuza hizo liquid assets zako na kuichangamkia fursa.

7.Miliki Mali inayoongezeka thamani kadri muda unavyozidi kwenda.

Wekeza fedha zako kwenye appreciating assets,kama vile real estate,Hisa,gold&silver au kwenye kitu chochote ambacho umejihakikishia kinaongezeka thamani,Mali za aina hii zinakusaidia kulinda au kutunza thamani ya fedha yako dhidi ya inflation pia zinaweza kutumika Kama dhamana kwenye taasisi za kifedha na kitu kizuri zaidi zinaweza kukutengenezea pesa nyingi ukiamua kuziuza baada ya thamani kupanda.

8.Mbinu ya kuingia na kutoka

Mwandishi mmoja wa vitabu alisema Kuna makosa mawili watu wanafanya kwenye uwekezaji,moja,kwny soko la hisa mtu anaingia na kutoka haraka,pili,kwny real estate,mtu anaingia harafu hatoki kabisa,elon musk ndio master wa hii mbinu,alianzisha kampuni ya zip2 mtu kafika bei kaiuza,kaenda kuanzisha tena online banking company,mtu kafika bei kaiuza na huko kote alipiga hela sio za nchi hii,leo elon ni tajiri mkubwa unabaki kusema oh! M-ngu ana upendeleo!acha uvivu wa kifikra,ukitaka kutoboa toka nje ya boat tembea juu ya maji,wakati mwingine Umaskini ni jambo la kujitakia.

9.Old money

Takwimu zinaonyesha 30% ya matajiri duniani utajiri wao umetokana na old money yaani wamerithi,ngozi nyeupe wamejitahidi kwny hii kitu ya kurithishana utajiri,ila mtu mweusi anakuambia tafuta Cha kwako achana na Mali za urithi,tajiri wa Kwanza tz alirithi makampuni akayaendeleza Leo anapiga hela chafu,Kuna dogo mmoja yupo Singapore anaitwa Kishin,akiwa na miaka 12 baba yake alimpa urithi wa apartment za kupangisha,alipofikisha miaka 23 akaziuza kwa hela ndefu Sana kwasbb thamani yake ilikuwa imepanda,akatumia hizo hela kuanzisha kampuni yake na leo hii huyo dogo ndio youngest billionaire in Singapore,chanzo Cha utajiri wake ni urithi,wazazi toeni urithi kabla hamjafa hiyo ndio kanuni ya M-ngu,acheni ubinafsi na uvivu,unaacha nyumba moja watoto kumi,sio poa kabisa😀😀hii generational poverty si rahisi kwa mtu mweusi kuchomoka.

10. Give back to the community

Kwa wanaofatilia historia watakuwa wanajua ule mtikisiko wa uchumi uliotokea marekani 1920's kuelekea 30's,inasemekana matajiri wengi walifirisika,wengine walikufa kwa presha,wengine walipata magojwa ya akili,wengine walijinyonga kwasababu watu walikula hasara za kufa mtu,na Kama unavyojua utajiri wa wamarekani wengi unategeme soko la hisa,Sasa soko liliporomoka kwa speed ambayo hajawahi kutokea,baada ya hapo ndio ukaibuka ule usemi unaosema don't put all your eggs in one basket pia kiliibuka kitu kinaitwa philanthropy,hii ni njia walioitumia matajiri wa marekani kurudisha fadhira zao kwa jamii,kwasababu waliamini wale matajiri waliofirisika na wengine kufa ilisababishwa na ubinafsi,ndio maana tuliona pia matajiri Kama akina billy gate na wallen buffet wakitoa nusu ya utajiri wao kusaidia jamii,giving is an opportunity to prosper,so unapo haso kumbuka kuna maskini,Kuna wajane na yatima wanahitaji msaada wako,so keep on making money and helping people and G-d will bless you with his divine wealth.

Wadau,kwa Leo niishie hapa

Nimeandika huu uzi kutokana kile ninachokijua,kutofautiana kimtazamo ni Jambo la kawaida kwa mtu anayependa kujifunza,so karibuni tupeane akili za kuiteka pesa,naamini yapo maujanja mengine sijayaandika humu,unaweza kutushirikisha hapa.

Till next time....i'm your fellow money hunter Tanzanian Dream
 
Hello money hunters!

Leo nimeona niungane na Tony robbins aliyesema",90%ya mafanikio ya mtu ni psychology and only 10% ni mechanics"
kwenye harakati za utaftaji psycholojia yako ina matter zaidi kuliko msuli wako,kuliko ile bidii yako ya kimwili,mental capacity ndio imebeba Siri za kuiteka pesa,lengo la uzi huu sio kukufanya uwe na hela nyingi ila uwe na hela zitakazo kuwezesha kuishi aina ya maisha unayoyataka.

Wayahudi wanausemi wao mmoja uko harsh kidogo,wanasema umaskini ni kuishi maisha usiyoyataka,ni kuwa na kiwango kikubwa cha matamanio badala la kufurahia ulichonacho,maskini anafanana na maiti,utofauti wao ni kwamba,maskini ana very few choices na maiti haina choice kabisa,
wadau Umaskini ni mbaya nje,ndani,sisemi wote tuwe matajiri nasema at least uwe na mkwanja utakaokuwezesha kuishi life style anayoitaka.

Twende Sasa kwenye akili kumi za kuiteka pesa

1. Be purposeful and realistic(panga kiwango cha pesa unachohitaji na kwanini unataka kiasi hicho)

Kwenye ulimwengu wa fedha ni muhimu kujua unataka fedha kiasi gani kwa muda gani ili uishi aina gani ya maisha,usiseme tu nataka kuwa tajiri au nataka kuwa na hela nyingi,sema nataka niwe na uwezo wa kuingiza kiasi flani kwa mwaka,mwezi,wiki au hata kwa siku then pambania iwe kweli,mfano unaweza kusema nataka kuwa na assets za kuniingizia milion 1,2,3... kwa mwezi ili niishi maisha ya kiwango flani,hapo utaanza ku makesense na milango ya fedha itaanza kufunguka.

2.uwe na kipato kinachoongezeka over time

Kwa kadiri muda unavyozidi kwenda,pesa inapungua thamani yake,yaani ule uwezo wa kununua kitu unapungua,hii kitaalamu inaitwa "inflation"sasa ili usiwe mhanga hakikisha unafanya harakati kukuza kipato chako,bora kipato kidogo kinachokua kuliko kipato kikubwa ambacho hakikui,always tafuta namna ya kuongeza 0 mbele ya namba.

3.Cash cow

Hii inaweza kuwa ni ajira ambayo unalipwa mshahara mkubwa au biashara inayoingiza faida kubwa,lengo ni kupata nguvu ya kupush projects zako zingine kwa kasi ya 5G,usifanye biashara ilimradi unaskuma siku,chungulia kwa mbali uone Kama yaliyomo yamo,fanya utafiti ufanye mishe gani ambayo utapiga mishindo ya maana,acha kupoteza muda.

4.Financial friend

Jenga urafiki na taasisi za kifedha Kama banks,saccos,microfinance,credit unions na zingine,binafsi nikihamia mkoa wowote lazima nijiweke karibu na wadau Kama hao,lengo langu ni kwamba muda wowote nikihitaji pesa niipate kirahisi,Kuna jamaa alikuwa na kiwanja chake anakiuzia shida,anataka 3M,akanicheki nikamwambia nipe siku mbili tufanye biashara,sikua na hiyo cash mkononi so nikaingia bank nikavuta mkopo,nikampa jamaa chake,baada ya wiki nikakiweka kiwanja sokoni,mteja akafika 10 M,nikawarudishia bank 3.6M yao nikavuta profit 6.4M chap ndani ya mwezi,benki ukiwafanyia hivyo walah! watafunga ndoa na wewe,wadau kutengeneza pesa nyingi inatakiwa uwe na uwezo wa kuconnect dots.

5.Tengeneza emergency fund

Tenga kiasi flani Cha pesa for uncertainties,lolote laweza kutokea,unaweza kufukuzwa kazi,biashara zinaweza kuteketea kwa Moto na huna bima,E-fund ndio inakuwa bima yako,Kama wewe ni mfanyabiashara,ithaminishe biashara yako + gharama za maisha kwa miezi at least mitatu,kiasi utakachopata kitenge Kama emergency fund yako,kufanya hivyo utajiondolea financial pressure wkt wa uncertainties.

6.tengeneza ukwasi(liquidity)

Ukwasi ni kuwa na Mali ambayo ni rahisi kuigeuza kuwa pesa ndani ya muda mfupi,hakuna tajiri duniani ambaye hana ukwasi(liquid assets ie CDs,gold&silver,bond za ukwasi,baadhi ya hisa za makampuni nk),faida yake ni pale ambapo fursa imekuja halafu huna cash,unachokifanya ni kuuza hizo liquid assets zako na kuichangamkia fursa.

7.Miliki Mali inayoongezeka thamani kadri muda unavyozidi kwenda.

Wekeza fedha zako kwenye appreciating assets,kama vile real estate,Hisa,gold&silver au kwenye kitu chochote ambacho umejihakikishia kinaongezeka thamani,Mali za aina hii zinakusaidia kulinda au kutunza thamani ya fedha yako dhidi ya inflation pia zinaweza kutumika Kama dhamana kwenye taasisi za kifedha na kitu kizuri zaidi zinaweza kukutengenezea pesa nyingi ukiamua kuziuza baada ya thamani kupanda.

8.Mbinu ya kuingia na kutoka

Mwandishi mmoja wa vitabu alisema Kuna makosa mawili watu wanafanya kwenye uwekezaji,moja,kwny soko la hisa mtu anaingia na kutoka haraka,pili,kwny real estate,mtu anaingia harafu hatoki kabisa,elon musk ndio master wa hii mbinu,alianzisha kampuni ya zip2 mtu kafika bei kaiuza,kaenda kuanzisha tena online banking company,mtu kafika bei kaiuza na huko kote alipiga hela sio za nchi hii,leo elon ni tajiri mkubwa unabaki kusema oh! M-ngu ana upendeleo!acha uvivu wa kifikra,ukitaka kutoboa toka nje ya boat tembea juu ya maji,wakati mwingine Umaskini ni kujitakia.

9.Old money

Takwimu zinaonyesha 30% ya matajiri duniani utajiri wao umetokana na old money yaani wamerithi,ngozi nyeupe wamejitahidi kwny hii kitu ya kurithishana utajiri,ila mtu mweusi anakuambia tafuta Cha kwako achana na Mali za urithi,tajiri wa Kwanza tz alirithi makampuni akayaendeleza Leo anapiga hela chafu,Kuna dogo mmoja yupo Singapore anaitwa Kishin,akiwa na miaka 12 baba yake alimpa urithi wa apartment za kupangisha,alipofikisha miaka 23 akaziuza kwa hela ndefu Sana kwasbb thamani yake ilikuwa imepanda,akatumia hizo hela kuanzisha kampuni yake na leo hii huyo dogo ndio youngest billionaire in Singapore,chanzo Cha utajiri wake ni urithi,wazazi toeni urithi kabla hamjafa hiyo ndio kanuni ya M-ngu,acheni ubinafsi,unaacha nyumba moja watoto kumi,sio poa kabisa😀😀hii generational poverty si rahisi kwa mtu mweusi kuchomoka.

Till next time....i'm your fellow money hunter Tanzanian Dream[/USERA[/B]
[/QUOTE]
Asante kwa Ujumbe mzuri
 
👏 Tunahitaji Kwanza pesa ndio tutapata amani
 
Nimependa ulivyoweka na uhalisia ulivyopiga 6.4M let the hunt begin
 
Back
Top Bottom