Akili kumi za kumteka mwanaume

Yaani wewe kidume kizima unakaa chini unaandikia wanawake kuhusu wanaume wenzako wanataka nini? Wewe ndio utakuwa moja ya yale majamaa kwenye vipindi vya taarabu kwenye radio.

Tafuta kazi mkuu.
 
KAMA SIO BIKRA USIOE HUYO NI MALAYA KAMA MALAYA WENGINE
 
Mapenzi hayafundishwi kila mtu anazaliwa nayo.
 
Haya ni madini, wanaosubiri kuyafuata chunya au mererani watasubiri sana,ubarikiwe sana.
 
Yaani wewe kidume kizima unakaa chini unaandikia wanawake kuhusu wanaume wenzako wanataka nini? Wewe ndio utakuwa moja ya yale majamaa kwenye vipindi vya taarabu kwenye radio.

Tafuta kazi mkuu.
Maarifa hayana jinsia,hujui hata madocta bingwa wengi wa magonjwa ya kike ni wanaume.
 
Kuna watu wanaitwa "Alone boys", hao wao haiwahusu... Hakuna kumwamini ke kwa 100% hata siku 1...
 
Nitashangaa sana kama aliyeandika huu waraka ni mwanaume unless awe ni queer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…