Jamii ndio itaamua kama iwaite hao kuwa ni wenye akili kutokana na rekodi zao ama mpaka wawe na matendo ya juu yenye kuendelea ndio wawe na akili,hapo jamii husika ndio itaamua..TO(Tanzania ones) wanavyopoteaga kwenye macho pamoja na masikio ya jamii baada ya kumaliza vyuo vikuu tunaweza kusema kuwa ni watu wenye akili?
Rekodi zao zipi hizo mkuu?Jamii ndio itaamua kama iwaite hao kuwa ni wenye akili kutokana na rekodi zao ama mpaka wawe na matendo ya juu yenye kuendelea ndio wawe na akili,hapo jamii husika ndio itaamua..
Kuwa na akili ni kupata A kwenye physics na kuyatumia maarifa hayo kuleta mabadiliko chanja katika jamii au ni kuweka rekodi ya kupata A kisha hakuna faida yoyote katika jamii?Za kuwa ma TO ndio rekodi nilizokusudia ...
Mimi nimesema akili ni matendo,unaposema kitu kuhusiana maana yake hivyo vitu viko tofauti,mimi sijatofautisha matendo na akili.Hayo matendo unaya pimaje kujua yana husiana na akili?
Ni kitendo.hicho sio kitendo?
Ndio tutayaita ni akili.Kwasababu ni kitendo je kitendo hicho tukiite akili?
Kufahamu ni kitendo.Nadhani akili ni inborn trait ambayo naweza sema ni uwezo wa mtu kuweza kulitambua jambo fulani, na baada ya kuwa na ufahamu wa jambo hilo sina uhakika kama kuna ulazima wa yeye kutenda baada ya kuwa na ufahamu wa hicho kitu.Akili na matendo sidhani kama kuna one to one relationship.Labda naweza sema thoughts and actions go together na sio eti intelligence and actions.
siko vizuri kwenye kiswahili lakini sidhani kama kufahamu ni kitendo navyojua kufahamu ni hali ya kutambua jamboKufahamu ni kitendo.
mawazo ni kitendo,ukiwaza maana yake umetenda jambo la kuwaza.
Hivyo hata mtu akifahamu kitendo cha kufahamu tu ni kitendo na hiko kitendo ndio akili yenyewe
Hey blood excuse me! something is strange here.Umesema akili ndo mind kwa English? You need to clarify this please!Ndugu yangu naona unajaribu kufikiria akili ni nini ila umeshindwa kunga'mua ukaamua utumie mifano ambayo haijitoshelezi 😃
Anyway nitakusaidia kukuelewesha,
Kwanza kabisa ili uwe na akili ni lazima uwe na ubongo, ila unaweza kuwa na ubongo lakini usiwe na akili nyingi,
Chukulia mfano una puto tupu (empty baloon) ambalo tulifananishe na ubongo wa mtoto aliyezaliwa leo,View attachment 1965912
Mtoto kadri muda unavyozidi kwenda analijaza puto(ubongo) upepo (akili au kwa kiingereza mnaita mind), View attachment 1965923
Kwahiyo akishakuwa mtu mzima tunamchukulia kuwa ana akili timamu sababu puto lake(ubongo) lina hewa nyingi (akili)
Tunachotofautiana binadamu ni wingi wa upepo (akili) mfano mtu aliyesoma tunasema ana akili nyingi sqbabu puto lake kalijaza maarifa,
You can not create something from nothing
Newton asingegundua law of gravity kama asingesoma maandiko ya GALILEI GALILEO, Michael Faraday asingegundua laws of electrolysis kama asingejichimbia kusoma vitabu kwenye library ya baba yake, R.Ohm asingegundia resistance kama asingesoma vitabu alivyokuwa analetewa aviwekee ma cover,
Kimsingi akili ni mkusanyiko wa taarifa mbali mbali kwenye ubongo ambao hutengeneza taarifa ya kitu, vitu au maarifa