OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Ngoja nimsaidieMimi nimeweka mada kwa kiswahili nataka tujadili kwa kiswahili,mawazo yangu lazima niyawakilishe kwa lugha ninyalijui ili nipate kuijadili vizuri
Asante sanaNgoja nimsaidie
Mind/akili - ni mkusanyiko wa taarifa zote zilizopo kwenye ubongo
Intelligence- ni kitendo cha kuzikumbuka, kuzichakata na kuzitumia taarifa zilizopo kwenye akili ili kukabiliana na changamoto za kimazingira au maisha mfano kukokotoa hesabu lwa kutumia kanuni ulizofundishwa na mwalimu
wewe ni ke? ndo wenye hizi tabia.Tafadhali niwie radhi,
Kuna terms kuzitofautisha kwa kiswahili ni ngum.
e.g mind, intelligence, intellect.
MfanoOkay.
Ni wakati gani mtu mwenye ubongo inasemwa hana akili nyingi ?
Asante mkuu
Yap! hapa kama nimekupata vizuri lakini tukirudi mwanzo kabisa kwenye mada nadhani kuna kitu kimenipa changamoto kukielewa na niseme kuwa siko tayari kukubaliana nacho.Kusema kwako hali,neno "hali" haliondoi neno "kufahamu" kuwa mi kitendo.
Kufahamu lazima ubongo ufanye kazi ya kutafakari,kama ubongo unafanya kazi hiko ni kitendo tayari hakuna kazi ambayo sio kitendo.
Au unavyohisi wewe kitendo ni nini ?
Kwa nini jamii iliyonizunguka ndiyo iwe kipimo sahihi?Hiyo jamii ina sifa gani hadi iwe kipimo sahihi?Jamii au watu wanaomzunguka huyo aliyepata A Ndio watasema kama hiko kitu kinatija na chenye kuleta heshima kwa jamii au kwake yeye binafsi.
Jamii inayomzunguka ikikubi basi hiyo inakuwa ndo akili
Ni kwa sababu matendo namna yanavyotafsiriwa hutegemea na jamii husika inayatafsiri vipi hayo matendo.Kwa nini jamii iliyonizunguka ndiyo iwe kipimo sahihi?
Jamii sifa yake kubwa ni kwamba inakaa na huyo mfanyaji matendo,hivyo jamii ndio ina nafasi ya kutafsiri ama kuamua kama kitendo cha mfanyaji kina tija na wao au hakina.Hiyo jamii ina sifa gani hadi iwe kipimo sahihi?
Jamii yao itakuwa sahihi kwa sababu kitwndo hiko wamwona kina manufaa kwao na ni kitendo cha weledi na chenye kuheshimika.Akitokea mtu katika jamii ya wahadizabe kisha akagundua upinde na mshale ambao una uwezo wa kuua wanyama kumi kwa wakati mmoja, jamii hiyo itadai kuwa mtu huyo ana akili sana
Pia jamii ya waingereza itakuwa sahihi kwa sababu kitendo hiko wameona ni kizuri,cha uweledi na wameona kitawafaa kqenye mambo yao.alafu akatokea mwengereza akagundua time travel pia jamii ya waengereza watamsifia kuwa mtu huyu ana akili sana.
HaziweI kuwa sawa kwa sababu manufaa ya tendo(akili)yanatafsiriwa manufaa hayo na watu.Je, hizi ni akili mbili sawa?
Mimi sijalinganisha akili hizo,nimesema ni tofauti hivyo swali lako linadondoka katika msingi kama huo.Tutatumia kipimo gani sahihi kulinganisha akili za watu hawa wawili?
Usiwe na misimamo ya kwamba "sitaki kukjbaliana nacho" hii ni dhana mbovu ya watu ambao hawataki kujifunza vitu vipya,ila naamini hauko hivyo.kitu kimenipa changamoto kukielewa na niseme kuwa siko tayari kukubaliana nacho.
Wenzake hao ni jamii kwa asilimia kubwa,kama hivi leo mtu akipata div one ya 7 kwa tanzania jamii yetu itasema huyu mtu ana akili nzuri yuko vizuri.Umesema mtu anaonekana ni mwenye akili kupita wenzake
Mkuu unanilisha maneno kana kwamba nimesema hivyo kisha unaweka hoja yako..Lakini kuna jambo umelisahau, mtu anapopata achievement yoyote katika jambo ambalo atakuwa amefanya sina uhakika kama ni akili pekee inamfanya apate hayo mafanikio.
Ni kana kwamba mimi nimesema kuwa akili ni kitu kinachomuwesesha mtu kufanya jambo fulani wakati mimi sijasema hivyo.sina uhakika kama ni akili pekee inamfanya apate hayo mafanikio.
Kuna ambao ukiwapa huo muda,mazi gira na component zingine bado hawawezi kufanya kitu bora kama mtu fulani..Kuna wengine wanafanikiwa au wanatambulika leo hii duniani sio kama wao ni exceptional ila ni kuwa kuna vitu kama muda au mazingira na components zake zilitoa msaada.
Nimekupata mkuu naomba tena kuuliza.Mfano
Profesa na mtoto wa darasa la saba wanachotofautiana ni wingi wa data, information, knowledge n.k kwenye ubongo
Hawa watu wawili mmoja ana akili nyingi kuliko mwenzake,
Lakini ikitokea professor akapata ajari ya gari ubongo wa mbele ukaharibika karibia wote, Phd yake, masters, degree, a level, o level n.k vyote hataweza kuvikumbuka hivyo basi atakuwa na akili kidogo kuliko mtoto wa shule ya msingi
Umenipata mkuu???
Nazani kunatofauti kati ya maarifa(knowledge) na akili.Mfano
Profesa na mtoto wa darasa la saba wanachotofautiana ni wingi wa data, information, knowledge n.k kwenye ubongo
Hawa watu wawili mmoja ana akili nyingi kuliko mwenzake,
Lakini ikitokea professor akapata ajari ya gari ubongo wa mbele ukaharibika karibia wote, Phd yake, masters, degree, a level, o level n.k vyote hataweza kuvikumbuka hivyo basi atakuwa na akili kidogo kuliko mtoto wa shule ya msingi
Umenipata mkuu???
Nimeshaeleza akili ni nini kama hujaelewa pitia tena comments zanguNazani kunatofauti kati ya maarifa(knowledge) na akili.
Nazani unaongelea maarifa .
Hata hayo maarifa ambayo ameyagusia ametumia kigezo cha PHD kumdefine mtu kwamba ana akili.Nazani kunatofauti kati ya maarifa(knowledge) na akili.
Nazani unaongelea maarifa .
Msaada, je akili ni hizo content zilizojazwa kwenye baloon/ubongo au akili ni uwezo wa kuchakata content?Ndugu yangu naona unajaribu kufikiria akili ni nini ila umeshindwa kunga'mua ukaamua utumie mifano ambayo haijitoshelezi [emoji2]
Anyway nitakusaidia kukuelewesha,
Kwanza kabisa ili uwe na akili ni lazima uwe na ubongo, ila unaweza kuwa na ubongo lakini usiwe na akili nyingi,
Chukulia mfano una puto tupu (empty baloon) ambalo tulifananishe na ubongo wa mtoto aliyezaliwa leo,View attachment 1965912
Mtoto kadri muda unavyozidi kwenda anakuwa anajifunza mambo mbali mbali kama vile majina ya watu vitu n.k pia anajifunza matendo (tabia) kwa kuangalia kutoka kwa watu wanao mzunguka, hapo anakuwa analijaza puto(ubongo) upepo (akili au kwa kiingereza mnaita mind), content zinazojazwa kwenye ubongo zote lwa pamoja ndio tunaziita akiliView attachment 1965923
Kwahiyo akishakuwa mtu mzima tunamchukulia kuwa ana akili timamu sababu puto lake(ubongo) lina hewa nyingi (akili) au content pia anakuwa na uwezo wa kuchakata hizo content kutofautisha nembo jema na jambo baya
Tunachotofautiana binadamu ni wingi wa upepo (akili) mfano mtu aliyesoma sana tunasema ana akili nyingi sababu puto lake kalijaza content muhimu mnaita maarifa,
You can not create something from nothing
Newton asingegundua law of gravity kama asingesoma maandiko ya GALILEI GALILEO, Michael Faraday asingegundua laws of electrolysis kama asingejichimbia kusoma vitabu kwenye library ya baba yake, R.Ohm asingegundia resistance kama asingesoma vitabu alivyokuwa analetewa aviwekee ma cover,
Kimsingi akili ni mkusanyiko wa taarifa mbali mbali kwenye ubongo ambao hutengeneza taarifa ya kitu, vitu au maarifa
Intelligence ndio uwezo wa kuchakata contentMsaada, je akili ni hizo content zilizojazwa kwenye baloon/ubongo au akili ni uwezo wa kuchakata content?