Akili mkichwa

Nadhani inaongelea yaliyotokea Kawe.
Enlightened + Awakened.
 
Vichwa mshumaa, vinamtizama kichwa taa akienda kunyongwa..
Wakati wao vichwa mshumaa(mshumaa haumuliki mbali lakini pia huisha mapema) tofauti na kichwa taa(yeye humulika mbali na haiishi kama mishumaa.)
Asante
 
Picha inamaana kwamba katika kundi kubwa la wajinga, hata uwe na maarifa kiasi gani yaletayo mwanga kwao bado utashutumiwa na kuonekana tu huu mkosefu. Tegemea kunyongwa (kusagiwa kunguni)
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…