Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaUtaelewa tuu.
Picha inamaana kwamba katika kundi kubwa la wajinga, hata uwe na maarifa kiasi gani yaletayo mwanga kwao bado utashutumiwa na kuonekana tu huu mkosefu. Tegemea kunyongwa (kusagiwa kunguni)Sijaelewa
Vichwa mshumaa, vinamtizama kichwa taa akienda kunyongwa..Sijaelewa
AsanteVichwa mshumaa, vinamtizama kichwa taa akienda kunyongwa..
Wakati wao vichwa mshumaa(mshumaa haumuliki mbali lakini pia huisha mapema) tofauti na kichwa taa(yeye humulika mbali na haiishi kama mishumaa.)
HakikaPicha inamaana kwamba katika kundi kubwa la wajinga, hata uwe na maarifa kiasi gani yaletayo mwanga kwao bado utashutumiwa na kuonekana tu huu mkosefu. Tegemea kunyongwa (kusagiwa kunguni)