Akili mnemba bado haiko sahihi mara zote, kila jibu unalopata jifunze ku confirm. Kwneye sources zingineAkili mnemba kwa lugha adhimu ya kiswahili ndivyo unavyoweza kuiita Artificial intelligence na hua haidanganyi na kwa sasa hakuna kitu ambacho utamdanganya mtu kwa chochote akina walakini kwenye jibu LAKO ataenda kuiuliza akili mnemba mana ana data kutoka pande zote za dunia.
Mfano niliuliza kuhusu kipato Cha mtanzania ukilinganisha na Cha mkenya na haya ndio majibu yake
Kipato cha mtanzania mmoja mmoja ni karibu $1,200 kwa mwaka ambayo ni 100$ kwa mwezi na Dola 3 kwa siku kulingana na data ya GNI per capita ya 2023. Tanzania iko katika kundi la nchi za kipato cha chini hadi cha kati (lower-middle-income) kwa viwango vya World Bank, sio maskini sana kwani iko juu ya kiwango cha nchi masikini ($1,085). Hii inaonyesha maendeleo ya wastani kiuchumi ikilinganishwa na nchi masikini zaidi.
Kipato cha kila Mkenya mwaka 2023 kilikuwa takriban $2,110, zaidi ya $1,210 ya Mtanzania. Kenya iko katika kundi la kipato cha chini-cha-kati kulingana na Benki ya Dunia, hivyo Wakenya wasichukuliwe maskini kwa viwango vya kimataifa. Hata hivyo, 7.8% waliishi chini ya mstari wa umaskini wa $2.15 kwa siku mwaka 2024, ikionyesha bado kuna umaskini fulani.
Iulize na hiliAkili mnemba kwa lugha adhimu ya kiswahili ndivyo unavyoweza kuiita Artificial intelligence na hua haidanganyi na kwa sasa hakuna kitu ambacho utamdanganya mtu kwa chochote akina walakini kwenye jibu LAKO ataenda kuiuliza akili mnemba mana ana data kutoka pande zote za dunia.
Mfano niliuliza kuhusu kipato Cha mtanzania ukilinganisha na Cha mkenya na haya ndio majibu yake
Kipato cha mtanzania mmoja mmoja ni karibu $1,200 kwa mwaka ambayo ni 100$ kwa mwezi na Dola 3 kwa siku kulingana na data ya GNI per capita ya 2023. Tanzania iko katika kundi la nchi za kipato cha chini hadi cha kati (lower-middle-income) kwa viwango vya World Bank, sio maskini sana kwani iko juu ya kiwango cha nchi masikini ($1,085). Hii inaonyesha maendeleo ya wastani kiuchumi ikilinganishwa na nchi masikini zaidi.
Kipato cha kila Mkenya mwaka 2023 kilikuwa takriban $2,110, zaidi ya $1,210 ya Mtanzania. Kenya iko katika kundi la kipato cha chini-cha-kati kulingana na Benki ya Dunia, hivyo Wakenya wasichukuliwe maskini kwa viwango vya kimataifa. Hata hivyo, 7.8% waliishi chini ya mstari wa umaskini wa $2.15 kwa siku mwaka 2024, ikionyesha bado kuna umaskini fulani.
hata nikiuliza namna ya kuiondoa ccm madarakani itanipa jibu kweliAkili mnemba kwa lugha adhimu ya kiswahili ndivyo unavyoweza kuiita Artificial intelligence na hua haidanganyi na kwa sasa hakuna kitu ambacho utamdanganya mtu kwa chochote akina walakini kwenye jibu LAKO ataenda kuiuliza akili mnemba mana ana data kutoka pande zote za dunia.
Mfano niliuliza kuhusu kipato Cha mtanzania ukilinganisha na Cha mkenya na haya ndio majibu yake
Kipato cha mtanzania mmoja mmoja ni karibu $1,200 kwa mwaka ambayo ni 100$ kwa mwezi na Dola 3 kwa siku kulingana na data ya GNI per capita ya 2023. Tanzania iko katika kundi la nchi za kipato cha chini hadi cha kati (lower-middle-income) kwa viwango vya World Bank, sio maskini sana kwani iko juu ya kiwango cha nchi masikini ($1,085). Hii inaonyesha maendeleo ya wastani kiuchumi ikilinganishwa na nchi masikini zaidi.
Kipato cha kila Mkenya mwaka 2023 kilikuwa takriban $2,110, zaidi ya $1,210 ya Mtanzania. Kenya iko katika kundi la kipato cha chini-cha-kati kulingana na Benki ya Dunia, hivyo Wakenya wasichukuliwe maskini kwa viwango vya kimataifa. Hata hivyo, 7.8% waliishi chini ya mstari wa umaskini wa $2.15 kwa siku mwaka 2024, ikionyesha bado kuna umaskini fulani.
Mfano hapa una confirm nini mkuu?Akili mnemba bado haiko sahihi mara zote, kila jibu unalopata jifunze ku confirm. Kwneye sources zingine
Unauliza maswali marahisi sana, kuna maswali complex , ambayo yanafanya akili mnemba iweze ku hallusinateMfano hapa una confirm nini mkuu?
Mfano nmeuliza je Kuna tofauti Gani kati ya maisha ya Kenya Tanzania na uganda?
Majibu
Maisha ya Kenya, Tanzania, na Uganda yana tofauti kadhaa:
- Kenya ina uchumi wa juu zaidi (GDP per capita $2,187 mwaka 2025) na miundombinu bora mijini kuliko Tanzania ($1,272) na Uganda ($1,304).
- Tanzania na Uganda zinategemea zaidi kilimo na maisha ya vijijini, huku Kenya ikiwa na fursa zaidi mijini.
- Elimu na afya ni bora kidogo Kenya, lakini zote zina changamoto kama umaskini na siasa.
- Gharama za maisha ni za juu Kenya mijini, lakini za chini Tanzania na Uganda vijijini.
Kila nchi ina nguvu na udhaifu wake!
Hapa una confirm nini tena mkuu...
Hahahaha akaniuliza unaona Ina ubora nikamwambia Bora google sio akili mnemba daah 😂 😂 sijui nikuwa nawaza nn aani[emoji23][emoji23] dah pole sana mkuu.
hapo itafelihata nikiuliza namna ya kuiondoa ccm madarakani itanipa jibu kweli
Routing capacity of entepries CISCO,MIKROTIK , TPLINK routers,and number of clients per router capacity.For example?!
Inadanganya sana lakini sema kwa sasa kwa kuwa zina access na internet uongo wake umepungua kwa sababu zinachukua data kutoka kwa realiable sources. Chatgpt kuna kipindi ilinipa majina aya research na waliofanya research hizo kumbe hakuna hata reseaarch za namna hiyo kabisa na hao watu hawapo na mimi nikajaa kabisa. Ila ilikuwa kabla ya kuipa uwezo wa kuaccess internet recently sijaijaribu kwa vitu kama hivyo.Akili mnemba kwa lugha adhimu ya kiswahili ndivyo unavyoweza kuiita Artificial intelligence na hua haidanganyi na kwa sasa hakuna kitu ambacho utamdanganya mtu kwa chochote akina walakini kwenye jibu LAKO ataenda kuiuliza akili mnemba mana ana data kutoka pande zote za dunia.
Mfano niliuliza kuhusu kipato Cha mtanzania ukilinganisha na Cha mkenya na haya ndio majibu yake
Kipato cha mtanzania mmoja mmoja ni karibu $1,200 kwa mwaka ambayo ni 100$ kwa mwezi na Dola 3 kwa siku kulingana na data ya GNI per capita ya 2023. Tanzania iko katika kundi la nchi za kipato cha chini hadi cha kati (lower-middle-income) kwa viwango vya World Bank, sio maskini sana kwani iko juu ya kiwango cha nchi masikini ($1,085). Hii inaonyesha maendeleo ya wastani kiuchumi ikilinganishwa na nchi masikini zaidi.
Kipato cha kila Mkenya mwaka 2023 kilikuwa takriban $2,110, zaidi ya $1,210 ya Mtanzania. Kenya iko katika kundi la kipato cha chini-cha-kati kulingana na Benki ya Dunia, hivyo Wakenya wasichukuliwe maskini kwa viwango vya kimataifa. Hata hivyo, 7.8% waliishi chini ya mstari wa umaskini wa $2.15 kwa siku mwaka 2024, ikionyesha bado kuna umaskini fulani.
So deepseek Iko vizuri mkuu?Inadanganya sana lakini sema kwa sasa kwa kuwa zina access na internet uongo wake umepungua kwa sababu zinachukua data kutoka kwa realiable sources. Chatgpt kuna kipindi ilinipa majina aya research na waliofanya research hizo kumbe hakuna hata reseaarch za namna hiyo kabisa na hao watu hawapo na mimi nikajaa kabisa. Ila ilikuwa kabla ya kuipa uwezo wa kuaccess internet recently sijaijaribu kwa vitu kama hivyo.
Chatgpt haiko vizuri katika uandishi wa code kama deepseek, glok nimeijaribu jmosi, inaandika vizuri code lakini iko slow deepseek iko fast.
Chatgpt haina uwezo wa kuhandle code nyingi compare na deepseek, ukiweka code zikiwa nyiingi inasema kabisa umeweka kiasi kikubwa cha code. Sijui kama paid version yake haina shida hiyo kwa sababu sijawahi itumia.