Haiko vzuri kwa uandishi wa kiswahili. Ila naipenda kwa kuandika coding, kufanya debugging na mambo mengine. Chatgpt naipenda katika uandishi wa kawaida tu wa emails, maandiko kunielezea vitu ambavyo sijaelewa vzuri. Glok nmeijaribh jumapili kuandika na kudebug code ilikuwa slow japo iliweza. Chatgpt hili zoezi iligoma ikidai maandishi ni mengiSo deepseek Iko vizuri mkuu?
Tofauti ni kwamba google inakupa majibu yaliyoandikwa tayari na kama yalivyo, akili mnemba ni kama vile unacjat na mtu, unaweza kuipa follow up questions. Unaweza kuiomba ideas za kitu fulani, unaweza kuichallenge n.kAkili mnemba/unde ina tofauti gani na google kama google nayo hutoa majibu ikiulizwa?
Akili mnemba ni tofauti na google.Akili mnemba/unde ina tofauti gani na google kama google nayo hutoa majibu ikiulizwa?
niko nyuma ya teknolojia hii wazee wangu, je kuna app zake zinazopakulika kwenye simu au ni kwenye kompyuta tu? Kwa idadi labda, ziko kama ngapi, na ipi ni bora?Tofauti ni kwamba google inakupa majibu yaliyoandikwa tayari na kama yalivyo, akili mnemba ni kama vile unacjat na mtu, unaweza kuipa follow up questions. Unaweza kuiomba ideas za kitu fulani, unaweza kuichallenge n.k
Ziko nyingi ila maarufu zaidi ni chatgpt. Unaweza kupakua app yake. Kuna deepseek, hii ni ya mchina na kuna app yake. Kuna glok hii ya bwana elon musk, na zipo ndogo ndogo zisizo na majinaniko nyuma ya teknolojia hii wazee wangu, je kuna app zake zinazopakulika kwenye simu au ni kwenye kompyuta tu? Kwa idadi labda, ziko kama ngapi, na ipi ni bora?
Naomba kufahamu ulivyoframe swali lako. Maana prompt engineering (uhandisi wa maswali sahihi) ni somo ambalo kila mmoja anapaswa kulielewa.Akili mnemba kwa lugha adhimu ya kiswahili ndivyo unavyoweza kuiita Artificial intelligence na hua haidanganyi na kwa sasa hakuna kitu ambacho utamdanganya mtu kwa chochote akina walakini kwenye jibu LAKO ataenda kuiuliza akili mnemba mana ana data kutoka pande zote za dunia.
Mfano niliuliza kuhusu kipato Cha mtanzania ukilinganisha na Cha mkenya na haya ndio majibu yake
Kipato cha mtanzania mmoja mmoja ni karibu $1,200 kwa mwaka ambayo ni 100$ kwa mwezi na Dola 3 kwa siku kulingana na data ya GNI per capita ya 2023. Tanzania iko katika kundi la nchi za kipato cha chini hadi cha kati (lower-middle-income) kwa viwango vya World Bank, sio maskini sana kwani iko juu ya kiwango cha nchi masikini ($1,085). Hii inaonyesha maendeleo ya wastani kiuchumi ikilinganishwa na nchi masikini zaidi.
Kipato cha kila Mkenya mwaka 2023 kilikuwa takriban $2,110, zaidi ya $1,210 ya Mtanzania. Kenya iko katika kundi la kipato cha chini-cha-kati kulingana na Benki ya Dunia, hivyo Wakenya wasichukuliwe maskini kwa viwango vya kimataifa. Hata hivyo, 7.8% waliishi chini ya mstari wa umaskini wa $2.15 kwa siku mwaka 2024, ikionyesha bado kuna umaskini fulani.
Kwani utajuaje kuwa ikwambiacho kina ukweli kiasi gani!!??Mfano hapa una confirm nini mkuu?
Mfano nmeuliza je Kuna tofauti Gani kati ya maisha ya Kenya Tanzania na uganda?
Majibu
Maisha ya Kenya, Tanzania, na Uganda yana tofauti kadhaa:
- Kenya ina uchumi wa juu zaidi (GDP per capita $2,187 mwaka 2025) na miundombinu bora mijini kuliko Tanzania ($1,272) na Uganda ($1,304).
- Tanzania na Uganda zinategemea zaidi kilimo na maisha ya vijijini, huku Kenya ikiwa na fursa zaidi mijini.
- Elimu na afya ni bora kidogo Kenya, lakini zote zina changamoto kama umaskini na siasa.
- Gharama za maisha ni za juu Kenya mijini, lakini za chini Tanzania na Uganda vijijini.
Kila nchi ina nguvu na udhaifu wake!
Hapa una confirm nini tena mkuu...
Aisee mpaka nashindwa kutoa code...kila MTU aijue kivyake Ina ushauri balaa...kazi ambayo ningechua dk 30 unafanya kwa sekunde kadhaaAkili mnemba zinasaidia sana aisee
Yenywe unajua mpaka lugha za makabilaNataka akili mnemba ya kiswahili, iko wapi?
[emoji573] Cisco (Enterprise & Carrier‑Class)Routing capacity of entepries CISCO,MIKROTIK , TPLINK routers,and number of clients per router capacity.
Majibu utakayopata halaf tembelea sites, match uone kama yapo sawa
Ai imekupa majibu yasiyo sahihi, mikrotik high class ama top of line ni CCR series class. Rb series sio top ya mikrotik[emoji573] Cisco (Enterprise & Carrier‑Class)
Catalyst 8300 Series (branch/enterprise)
Catalyst 8200 Series
8000/8404 & core routers (service provider)
Client count: Cisco datasheets usually focus on throughput/tunnels/sessions, not direct user counts. Practical limits are set by PPS capacity and session states .
[emoji188] MikroTik (RouterBOARD/CCR)
Bottom line: performance varies with traffic patterns and hardware—test in your context.
[emoji821] TP‑Link (Omada/ER Series)
ModelCPU/ThroughputConnection CapacityER605- ER7206-~100–200 clients via DHCP ER6120 (TL‑ER6120)Dual-core, hardware VPN engineUp to 100 IPSec tunnels ER8411 (10 GbE)10 Gb WAN/LAN; 2.3 M concurrent sessions; 1 000+ clients
[emoji368] Summary & Guidance
Cisco: Best-in-class throughput and session scale; PPC and session-handling specs define limits; client counts aren’t specified but tied to traffic/session scale (Gbps or Tbps).
MikroTik: Client capacity depends heavily on model specs + traffic type. Small models (RB951, RB750) can serve a few dozen clients on typical NAT/Web workloads; larger CCR models scale into hundreds or more.
TP‑Link:
ER605 ≈ 60 clients
ER7206 ≈ 100–200 clients
ER8411 scales to 1 000+ clients, 2.3 M sessions
High‑density APs (EAP660 HD) handle 300+ wireless clients
[emoji736] Recommendation
For high-throughput branch use (IPsec, QoS): Cisco Catalyst 8300/8200 delivers 5–20 Gbps and thousands of tunnels/sessions.
For small-to-medium sites: TP‑Link ER605/7206 work well for under a few hundred users; ER8411 suits 1 000+ clients and heavy session loads.
Flexible & cost-effective: MikroTik is scalable but needs careful testing—client limits depend on hardware and load.
[emoji457] What to do next
Estimate your traffic: Determine per-user bandwidth and session count (e.g., web vs video).
Prototype/test: Deploy candidate hardware in a real setup; monitor CPU, NAT/sessions, and throughput.
Scale gradually: Watch for performance degradation (latency, packet drops) as client count grows.
Let me know if you'd like capacity numbers for a specific model or help sizing for your network!
Majibu hayo hapo