Akili Munemba(AI) inavotumiwa na Kenya kulinanga Bunge la 12 kama Bunge la Vihiyo

Akili Munemba(AI) inavotumiwa na Kenya kulinanga Bunge la 12 kama Bunge la Vihiyo

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,225
Reaction score
9,830

View: https://youtu.be/txvRnIcB9tc?si=DI7EpxtR-jnsGoai

Kumekuwa na matukio ya kushangaza tokea lile sekeseke la Wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania kusikiliza kesi ya Mhe. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani CHADEMA.

Wanaharakati hao baadaye walikamatwa na Polisi wa Tanzania wakateswa, kunyanyaswa kingono na kwenda kutupwa mipakani akiwemo dada wa Kiganda. Hili tukio limelaaniwa kwa nguvu na Wakenya na Waganda.

Wakenya kwa kutumia Akili Munemba wameamua kuishambulia Tanzania hasa Bunge ambalo lilinekana kushabikia huo unyanyasaji wa Polisi. Twende kazi.
 
Back
Top Bottom