Afisa_Nkai
JF-Expert Member
- Jul 5, 2025
- 504
- 1,071
Huyo ni mkongwe sana ataninyooshaKarbu Wewe utazichapa na secretarybird
Hongera mkuu kwa kuja kujifunza na kuburudika.Wakuu habari zenu, Ni Matumaini yangu kuwa mpo wazima wa afya na mna nguvu pia.
Nimegundua maarifa yapo huku hili ni moja ya jukwaa Bora sana kuwahi kutokea nimejoin Leo rasmi ili niendelee kujifunza mambo kadha wa kadha, naombeni mnipokee kijana wenu
Ahsanteni!!
Ahsante saana mkuu tupo pamojaHongera mkuu kwa kuja kujifunza na kuburudika.
Hahaha, asije akakimbia kwa hofu Kali maana inasemekana secretarybird ni mtu mwenye miraba minne yaani hawafu mwenye miguvu.Karbu Wewe utazichapa na secretarybird
Kujifunza kuzichapa pamoja na kuburudika ulingoniHongera mkuu kwa kuja kujifunza na kuburudika.
Karibu JA (JF )Leo rasmi ili niendelee kujifunza mambo kadha wa kadha, naombeni mnipokee kijana wenu
Ahsante mkuu nimekaribiaKaribu JA (JF )
Ile ID nyingine umeuza au ni Kwa kaz maalumWakuu habari zenu, Ni Matumaini yangu kuwa mpo wazima wa afya na mna nguvu pia.
Nimegundua maarifa yapo huku hili ni moja ya jukwaa Bora sana kuwahi kutokea nimejoin Leo rasmi ili niendelee kujifunza mambo kadha wa kadha, naombeni mnipokee kijana wenu
Ahsanteni!!
Kwani ukiandika asanteni Kuna shida?Wakuu habari zenu, Ni Matumaini yangu kuwa mpo wazima wa afya na mna nguvu pia.
Nimegundua maarifa yapo huku hili ni moja ya jukwaa Bora sana kuwahi kutokea nimejoin Leo rasmi ili niendelee kujifunza mambo kadha wa kadha, naombeni mnipokee kijana wenu
Ahsanteni!!
Sawa mkuu nimekuelewaKwani ukiandika asanteni Kuna shida?
"Ahsante" bado una ushule ndani yako mtaa bado hujaujua kijana.
Karibu kwenye mtandao wa matajiri Ila usishangae ukafatwa pm kuombwa Kubu.
Hapana mkuu zamani nilikuwa msoma thread tuIle ID nyinge umeuza au ni Kwa kaz maalum
Pomoja mkuu.Ahsante saana mkuu tupo pamoja
Hakika📌Karibu sana hapa JF mkuu hili ni jukwaa pekee kutoka kusini mwa jangwa la Sahara lenye watumiaji wengi Sana karibu JF
Usije ukawa tuu unatuchora,ututeke kwa Wema karibu sana.Wakuu habari zenu, Ni Matumaini yangu kuwa mpo wazima wa afya na mna nguvu pia.
Nimegundua maarifa yapo huku hili ni moja ya jukwaa Bora sana kuwahi kutokea nimejoin Leo rasmi ili niendelee kujifunza mambo kadha wa kadha, naombeni mnipokee kijana wenu
Ahsanteni!!
Tukibana vizuri shingo yake ataongea ukweli woteMwandiko unaonekana kama wa mgeni mwenyeji