Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Aug 27, 2015 #1 Mchungaji Msigwa anasema haiwezekani akili ndogo ikaitawala akili kubwa. Hivyo akili kubwa ndio ya kuitawa akili ndogo ebu msikilize . Anazungumza Point huyu Mheshimiwa hongera sana. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mchungaji Msigwa anasema haiwezekani akili ndogo ikaitawala akili kubwa. Hivyo akili kubwa ndio ya kuitawa akili ndogo ebu msikilize . Anazungumza Point huyu Mheshimiwa hongera sana.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Aug 27, 2015 #2 Huyo hana zaidi ya porojo.
lucky sabasaba JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 1,656 Reaction score 1,204 Aug 27, 2015 #3 Kila Mtanzania ana haki sawa ya kutawala.Ebu tuyatoe Ma Ccm yamekaa sana kwenye power mpaka yamejisahau,maneno aliyotoa pacha wa Lodilofa pale Jangwani yanaonyesha wazi wamejisahau.
Kila Mtanzania ana haki sawa ya kutawala.Ebu tuyatoe Ma Ccm yamekaa sana kwenye power mpaka yamejisahau,maneno aliyotoa pacha wa Lodilofa pale Jangwani yanaonyesha wazi wamejisahau.
Humilis JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 889 Reaction score 1,070 Aug 27, 2015 #4 MziziMkavu said: Anazungumza Point huyu Mheshimiwa hongera sana.[/SIZE][/FONT][/COLOR] Click to expand... Kweli ni point mkuu... Bora kua na watu kama hao 20 bungeni kuliko mamia wanaolala na kuongea porojo bungeni...
MziziMkavu said: Anazungumza Point huyu Mheshimiwa hongera sana.[/SIZE][/FONT][/COLOR] Click to expand... Kweli ni point mkuu... Bora kua na watu kama hao 20 bungeni kuliko mamia wanaolala na kuongea porojo bungeni...
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,456 Reaction score 1,567 Aug 27, 2015 #5 FaizaFoxy said: Huyo hana zaidi ya porojo. Click to expand... Porojo pia lina maana kuliko herufi za msigwa.
FaizaFoxy said: Huyo hana zaidi ya porojo. Click to expand... Porojo pia lina maana kuliko herufi za msigwa.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Sep 16, 2024 #6 FaizaFoxy said: Huyo hana zaidi ya porojo. Click to expand... Kumbe, hatimaye kavunwa!