Akili ndogo ikatawala akili kubwa mheshimiwa Mchungaji Msigwa

Akili ndogo ikatawala akili kubwa mheshimiwa Mchungaji Msigwa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363



Mchungaji Msigwa anasema haiwezekani akili ndogo ikaitawala akili kubwa. Hivyo akili kubwa ndio

ya kuitawa akili ndogo ebu msikilize


.
Anazungumza Point huyu Mheshimiwa hongera sana.
 
Last edited by a moderator:
Kila Mtanzania ana haki sawa ya kutawala.Ebu tuyatoe Ma Ccm yamekaa sana kwenye power mpaka yamejisahau,maneno aliyotoa pacha wa Lodilofa pale Jangwani yanaonyesha wazi wamejisahau.
 
Back
Top Bottom