wewe jamaa ndio jibu gani hili ambalo halina definition..Ila kiranga ameshamjibu kwama Akili ni akili ila kiranga amegomea jibu
Mke wake hapaaa[emoji23] [emoji23] usinchekeshe mkuu! Nani huyo nimfungulie Uzi.
Kwahiyo ulitaka Kiranga ajitoe akili kwa kujbu kuwa hana akili? au Mshana ajibu kuwa akili ni nini ili ampe Kiranga jibu?Kuna thread ya Mshana Jr inayosema kuwa Kiranga sio atheist ni non-believer inaelekea page ya 50 ikiwa imekwama kwenye neno "akili...".
Kwa upande wangu naona mjadala ule hauna maana yoyote kwasababu kila mtu anakwepa kumjibu mwenzie swali moja tu.
Mshana:Kiranga una akili au hauna akili?
Kiranga:Akili ni nini?
Eeh bhana eh!mjadala umetumia karibu posts 700+ kwenye kipengele hiko bila mafanikio.Mshana hataki kutoa maana ya akili na kiranga hataki kusema kama anazo bila kuambiwa akili zipi.
Kwa ujumla naona wale jamaa wanajidhalilisha tu...
Kwahiyo hapo umefikiria kwa kutumia nini, Imani yako au Akili??Akili ni neno la kiimani ambalo halina uhalisia wowote ule.
Mkuu una akili?Akili ni neno la kiswahili... sema ule mjadala n mkali sana
Swali gumu sana!! Majibu yake yanahitaji fikra jadidifuMkuu una akili?
Unajipa kazi na kufanya ionekani ni swali gumu. Jibu swaliSwali gumu sana!! Majibu yake yanahitaji fikra jadidifu
Recursive definition is like image reflection on the mirror reflected from another mirror.wewe jamaa ndio jibu gani hili ambalo halina definition..
fogoh2 ninani "??"? fogoh2 ni fogoh2...
Kama unao uwezo weka jibu ili tujuzaneUnajipa kazi na kufanya ionekani ni swali gumu. Jibu swali