akili ni nywele kila mtu anazake

akili ni nywele kila mtu anazake

Madam zero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
221
Reaction score
18
Samahani lakini,kipindi cha mitihani kimefika naomba kusaidiwa nitajuaje kama camera imewashwa wakati nafanya pepa?chuoni kwangu kuna camera madarasani,nauliza nijue ili nitumie sapoting document,unaruhusiwa kusema lolote la moyoni mwako
 
we tumia tu hiyo sapoting document wakikushika ndio utajuwa kuwa comera zilikuwa zimewashwa wasipokushika ujue comera zilikuwa zimezimwa
 
mburula mburula mburula..
kwani shule ulifata nini kama kusoma hutaki? wewe ukiombwa tigo upewe pepa si unatoa hadi extreme pack wewe? shikamoo madam ziroooo zirooo
 
mburula mburula mburula..
kwani shule ulifata nini kama kusoma hutaki? wewe ukiombwa tigo upewe pepa si unatoa hadi extreme pack wewe? shikamoo madam ziroooo zirooo

Duh yale yale,Mtoa mada jibu lako hilo...
 
Back
Top Bottom