Madam zero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 221
- 18
Samahani lakini,kipindi cha mitihani kimefika naomba kusaidiwa nitajuaje kama camera imewashwa wakati nafanya pepa?chuoni kwangu kuna camera madarasani,nauliza nijue ili nitumie sapoting document,unaruhusiwa kusema lolote la moyoni mwako