Madam zero JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 221 Reaction score 18 Feb 7, 2014 #1 Samahani lakini,kipindi cha mitihani kimefika naomba kusaidiwa nitajuaje kama camera imewashwa wakati nafanya pepa?chuoni kwangu kuna camera madarasani,nauliza nijue ili nitumie sapoting document,unaruhusiwa kusema lolote la moyoni mwako
Samahani lakini,kipindi cha mitihani kimefika naomba kusaidiwa nitajuaje kama camera imewashwa wakati nafanya pepa?chuoni kwangu kuna camera madarasani,nauliza nijue ili nitumie sapoting document,unaruhusiwa kusema lolote la moyoni mwako
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Feb 7, 2014 #2 we tumia tu hiyo sapoting document wakikushika ndio utajuwa kuwa comera zilikuwa zimewashwa wasipokushika ujue comera zilikuwa zimezimwa
we tumia tu hiyo sapoting document wakikushika ndio utajuwa kuwa comera zilikuwa zimewashwa wasipokushika ujue comera zilikuwa zimezimwa
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,619 Feb 7, 2014 #3 mburula mburula mburula.. kwani shule ulifata nini kama kusoma hutaki? wewe ukiombwa tigo upewe pepa si unatoa hadi extreme pack wewe? shikamoo madam ziroooo zirooo
mburula mburula mburula.. kwani shule ulifata nini kama kusoma hutaki? wewe ukiombwa tigo upewe pepa si unatoa hadi extreme pack wewe? shikamoo madam ziroooo zirooo
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 5,988 Reaction score 6,226 Feb 7, 2014 #4 Smile said: mburula mburula mburula.. kwani shule ulifata nini kama kusoma hutaki? wewe ukiombwa tigo upewe pepa si unatoa hadi extreme pack wewe? shikamoo madam ziroooo zirooo Click to expand... Duh yale yale,Mtoa mada jibu lako hilo...
Smile said: mburula mburula mburula.. kwani shule ulifata nini kama kusoma hutaki? wewe ukiombwa tigo upewe pepa si unatoa hadi extreme pack wewe? shikamoo madam ziroooo zirooo Click to expand... Duh yale yale,Mtoa mada jibu lako hilo...