Akili ni nywele

Moneyowner

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,423
Reaction score
1,252
Wahenga wajanja sana walisema akiii ni nywele kila mtu anazake , huwakutaka kutufumbua zaidi maana mwlili una sehemu tofauti tofauti zenye nywele mfano pale , kule , pale na pale
Sasa wewe kwa akili zako na mambo yako unavoyafanya unafikiri akili zako zinareflect na nywele zipi katika mwili wako.


OVA
darubin celebrating
 
Nywele ziko kichwani tuu, sehemu zingine hazina nywele ila zina mfano jamii ya nywele kama vile ndevu, nyusi, vinyweleo nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…