Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,252
Wahenga wajanja sana walisema akiii ni nywele kila mtu anazake , huwakutaka kutufumbua zaidi maana mwlili una sehemu tofauti tofauti zenye nywele mfano pale , kule , pale na pale
Sasa wewe kwa akili zako na mambo yako unavoyafanya unafikiri akili zako zinareflect na nywele zipi katika mwili wako.
OVA
darubin celebrating
Sasa wewe kwa akili zako na mambo yako unavoyafanya unafikiri akili zako zinareflect na nywele zipi katika mwili wako.
OVA
darubin celebrating