Akili ninazotumia kuwanasa wanawake ningezitumia kutafuta pesa Mo angesubiri

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Vyuoni wangefundisha tu hii kozi ya women affairs

Jana nimechakata mwanamke boss mkubwa sana wa wizara fulani kaja hotelini na STK, dereva yuko nje anamsubiri mimi nillienda na bajaj nikaondoka na bodaboda

Uongo na mbinu nilizotumia kumpata mpaka najishangaa hiki kipaji nimekitoa wapi
 
Ni fantasies tu ndizo zimekuwezesha....

Asingekuwa na fantasies wala usingempata...

Hapo usikute umekubali hata kunyewa mdomoni ili tuu lishangazi liridhishe nafsi yake.
 
Lile lishangazi ni limtu likubwa sana ofisini ,sistahili hata kuona sidiria yake japo kwa bahati mbaya ila nimelisasambua kama niko na Somoe wa mwananyamala B
 
Hivi si ndo ulisema umeanza kuitumia ARV?
 
Umemkomboa sana,huwa Wana hamu pia.
We jidanganye wahuni wanajua watamu wanawatongoza sana,huwa nakuta sms za mafisi wanaomba mzigo,maana akikutumia picha yake ya passport size ni pisi ya maana sema tu iliumwa polio inatembelea magongo
 
Oo Kumbe.....mi nikajua hawatongozwagi
 
Vyuoni wangefundisha tu hii kozi ya women affairs

Jana nimechakata mwanamke boss mkubwa sana wa wizara fulani kaja hotelini na STK ,dereva yuko nje anamsubiri mimi nillienda na bajaj nikaondoka na bodaboda

Uongo na mbinu nilizotumia kumpata mpaka najishangaa hiki kipaji nimekitoa wapi
😂😂😂😂😂
 
Baba yako sheta hukupa maujanja🤣
 
Oo Kumbe.....mi nikajua hawatongozwagi
Wanatongozwa sana sema watu ni wajinga hawapendi kuongozana nao au kujulikana kama wanawala,mi huwa sioni aibu kuongozana nae na ndio maana haniachi,
 
Vyuoni wangefundisha tu hii kozi ya women affairs

Jana nimechakata mwanamke boss mkubwa sana wa wizara fulani kaja hotelini na STK ,dereva yuko nje anamsubiri mimi nillienda na bajaj nikaondoka na bodaboda

Uongo na mbinu nilizotumia kumpata mpaka najishangaa hiki kipaji nimekitoa wapi

Mbona kama wewe ndo unatumika
 
Back
Top Bottom