Nawaza nje ya Box naipenda Tanzania na ipenda amani yetu na penda taifa langu na viongoz wake.
Kipenda kimepulizwa na tume ya uchaguzi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi amesha sema sasa ruhusa watu kujinadi.
Ila nawaza ikiwa idara zetu zimejiandaaje kwa uchaguz wa mwaka huu ambao utakuwa tofauti sana na chaguz zimewahi kutokea ni uchaguzi utagubikwa na ukanda ktk kupiga kampen jambo naliona ni hatari na ndio hasa kisa cha kuandika huu uzi.
Watu wabaya wamejiandaa kiubaya wapo tayari sio kuna sera zao ila kushambulia serikal na kupuliza sumu kali ya chuki jambo idara zetu msipo jipanga mtapiga virungu watu mpaka hosp zote zijae.
Mimi naomba iundwe special task force like never before ku deal spesific ku deal na yule atakaye eneza siasa chafu kupitia mitandao au majukwaa na ktk hiki kikosi kiwe na uwezo kufika mahali hawa watu hawatoweza fika na kuhakikisha kama ni adhabu inamfikia muhusika na sio wasikilizaji.
Kule Israel walipo ona kuna aina ya uwasi ulikuwa ukishugulikia unaumiza watu wengi na kuleta chuki kwa serikali waliunda vikos kazi kuwafikia wapangaji peke yao nakuwatuliza bila jamii kujuwa nini kimetokea kwa hao watu.
Kikosi maalumu kudhibiti maudhui pitia tcra, na mamlaka nyingine ni muhimu sana maana uchaguzi wa mwaka huu wanajuwa hawana sera ila nikuchonganisha watu kiudini na kikabila hivyo aina hii ya campaign kamwe tusikubali.
Badala yakuwamwagia upupu wana nchi kwa ujinga wa mtu fulan upupu huu amwagiwe huyu msababishaji aje jukwaani anajikuna ila hawezi simulia nn kimemkuta.
Itaendelea...