Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kama Watanzania tungekuwa tunatumia nguvu nyingi kiasi hiki kama hizi zilizotumika kujibu hii tweet katika kufanya mambo ya msingi nina uhakika kabisa tungefanikiwa katika mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kutokutawaliwa na mabeberu wazawa pamoja na makaburu wazawa.