Akili nyingi pamoja na nguvu nyingi zilizotumika katika kujibu hii tweet!!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Kama Watanzania tungekuwa tunatumia nguvu nyingi kiasi hiki kama hizi zilizotumika kujibu hii tweet katika kufanya mambo ya msingi nina uhakika kabisa tungefanikiwa katika mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kutokutawaliwa na mabeberu wazawa pamoja na makaburu wazawa.
 
Hizo replies tyuuuuh mie hoi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora Trump walimfungia. Twitter imetoka kuwa mtandao wa CEO's and Academicians mpaka kuwa utopolo[emoji7]
Ukitaka kucheka sana wee zama huko haahha


Kuna kajambo , mambo, tuvijambo ,majambo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora Trump walimfungia. Twitter imetoka kuwa mtandao wa CEO's and Academicians mpaka kuwa utopološŸ˜
Na siku Twitter wakijidanganya waongeze characters, tayari inakuwa Instagram.
 
Acheni kukufuru ninyi.Mnamfananishaje Mambo ya kipuuzi ya familia ya Diamond na Fumbo Hilo la Ki Mungu?.
 
Wabongo sahv hawajadili mambo ya msingi
Sahv kinachojadiliwa ni haya maujingajinga
Kuanzia mitaani maofisini mashuleni hadi kwenye mijengo Ya waheshimiwa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Sasa kama kazi hamna wafanyaje? Wanaona ni bora tu wajadili hayo maujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…