Akili nyingi za Mo. Agenda setting

Akili nyingi za Mo. Agenda setting

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Mo hakuwa na dhamira ya kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi baada ya kipigo cha Mtibwa isipokuwa alitaka kupoteza akili za mashabiki kindakindaki wa Simba wanaoamini SIMBA NI KUBWA na haipaswi kufungwa na Mtibwa?

Mo anajua akili za mashabiki wa Simba. Anawamudu. Anajua udhaifu wao. Sio wavumilivu. Hawana subira. Hawana huo uvumilivu. Na matokeo yakiendelea kuwa mabaya wanaweza kuacha kabisa kujaza uwanja. Nini afanye wasijadili matokeo na wajadili ufadhili wake?

Mo anajua kabisa mashabiki wa Simba wanataka matokeo mazuri. Wapo tayari kuvunja hata viti vya uwanja wa Taifa wakifungwa. Mashabiki wa Simba hawakubali kwamba wa naweza kufungwa na Mwadui au Mtibwa. Hawataki kuamini Yanga anasawazisha goli mbili ndani ya dakika tano.

Manara na Mo wamefanikiwa kuwaaminisha wana Simba karibu wote nchi nzima kwamba Simba ni kubwa Afrika kuliko hata TP Mazembe. Wanasimba wameamini. Amewahi kusema 'level zao ni FC Barcelona'. Unawaeleza nini wakifungwa na Mtibwa? Watoe sare na Yanga?

Mashabiki wa Simba wanaimba jina ka "Uchebe" uwanjani. Kocha aliyewapeleka kwenye makundi ya ligi ya mabingwa Africa. Hawataki kusikia jina la "Sven" na wanasema wameletewa 'Vladimir Putin aliyepooza' sasa unawaambia nini wamsahau Uchebe?

Hakuna namna. Tengeneza tukio. Tangaza kujiuzulu. Wagusie kuhusu ulipaji mishahara. Waache wajadili kwa muda. Tangaza kurejea baada ya saa 24. Na mjadala utakuwa "Mo" na sio Sven au matokeo ya Simba vs Mtibwa kukosa Mapinduzi Cup. Akili ni nyingi.

Bilioni 4 za Kitanzania ni kitu gani kwa Mo ambaye anatangaza bidhaa zake kwenye fulana za Simba, kwa mkataba usiojulikana hadharani kwa mashabiki wa Simba!? Hawezi kujiondoa Simba kizembe hivyo kisa kufungwa na Mtibwa..

Simba kafungwa na Al Ahly goli tano, Simba kachezea goli tano nyingine kwa AS Vita, jumla goli kumi. Simba akachezea goli tatu kutoka kwa JS Saoura. Jumla ngapi? 13. Lakini hakujiuzulu, ajiuzulu kufungwa na Mtibwa kwenye mashindano ya Milioni 15?

Mo kafanikiwa kwa 100%. Hajang'atuka. Bado yupo ndani ya Simba kama mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba. Bado anaendelea kuitumia Simba. Amewaunganisha wanasimba. Sasa wanajadili jina lake na sio matokeo ya Simba huko Zanzibar.

Mashabiki wa Simba wao wanataka kuona timu ikishinda. Hawana shida ya kuuliza wapi zilipo 20 alizonunua hiyo Simba. Zinafanya kazi gani? Hawana muda wa kuuliza haya kama wakimfunga Mbao FC na KMC kwenye ligi kuu. Kweli tena. Mo anajua hili..

Wapi zilipo $600,000 za, CAF kwa kuvuka makundi ligi ya mabingwa Afrika? Shabiki wa Simba anapata wapi akili ya kuhoji hayo endapo wanamfunga Polisi Tanzania na Kagera Sugar? Au kwenda Tanga na kumfunga Coastal Union?

Kwamba shabiki akaulize gate collection za michezo ya Simba ya ligi ya mabingwa Afrika? Bilioni 5 za Sport Pesa? Wapi fedha za Mo Energy au ni bure? Haki za matangazo AzamTV? Simba TV? TV rights? Shabiki atahoji haya baada ya kumfunga Lipuli?

Akili nyingi za Mo. Ni mfanyabiashara. Anajua hawezi kuacha Simba kirahisi. Kuna Faida kuendelea kuwepo Simba kwa jina la "shabiki mwekezaji wa Simba" Agenda setting! Waswahili wanajadili Tweet zake mbili na sio tena Mtibwa Sugar kumfunga Simba fainali!

Kwanini mwenyekiti wa Simba wakati fulani, Ismail Adem Rage alisema mashabiki wengi wa Simba ni "_______?"

Vyote vinaweza visiwe sahihi. Hii ni "vipi kama?"

#MMM
IMG-20200113-WA0032.jpeg
IMG_20200114_155506_755.jpeg
 
Alikuwa anawakumbusha simba kuwa anawadai 4 billions alizowalipa wachezaji kama mishahara (na za kuhonga / kununua tim pinzan) tena garama hizo ni za mwaka1 tuu………..mikia fc kazi mnayo
 
Mpira ni biashara.
Biashara bila faida si kitu.
Mo anadhamira nzuri kwa timu yetu Simba.
This was a planned technical error.

Mashabiki tuwe wavuilivu ... haya ni mapito tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo hakuwa na dhamira ya kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi baada ya kipigo cha Mtibwa isipokuwa alitaka kupoteza akili za mashabiki kindakindaki wa Simba wanaoamini SIMBA NI KUBWA na haipaswi kufungwa na Mtibwa?

Mo anajua akili za mashabiki wa Simba. Anawamudu. Anajua udhaifu wao. Sio wavumilivu. Hawana subira. Hawana huo uvumilivu. Na matokeo yakiendelea kuwa mabaya wanaweza kuacha kabisa kujaza uwanja. Nini afanye wasijadili matokeo na wajadili ufadhili wake?

Mo anajua kabisa mashabiki wa Simba wanataka matokeo mazuri. Wapo tayari kuvunja hata viti vya uwanja wa Taifa wakifungwa. Mashabiki wa Simba hawakubali kwamba wa naweza kufungwa na Mwadui au Mtibwa. Hawataki kuamini Yanga anasawazisha goli mbili ndani ya dakika tano.

Manara na Mo wamefanikiwa kuwaaminisha wana Simba karibu wote nchi nzima kwamba Simba ni kubwa Afrika kuliko hata TP Mazembe. Wanasimba wameamini. Amewahi kusema 'level zao ni FC Barcelona'. Unawaeleza nini wakifungwa na Mtibwa? Watoe sare na Yanga?

Mashabiki wa Simba wanaimba jina ka "Uchebe" uwanjani. Kocha aliyewapeleka kwenye makundi ya ligi ya mabingwa Africa. Hawataki kusikia jina la "Sven" na wanasema wameletewa 'Vladimir Putin aliyepooza' sasa unawaambia nini wamsahau Uchebe?

Hakuna namna. Tengeneza tukio. Tangaza kujiuzulu. Wagusie kuhusu ulipaji mishahara. Waache wajadili kwa muda. Tangaza kurejea baada ya saa 24. Na mjadala utakuwa "Mo" na sio Sven au matokeo ya Simba vs Mtibwa kukosa Mapinduzi Cup. Akili ni nyingi.

Bilioni 4 za Kitanzania ni kitu gani kwa Mo ambaye anatangaza bidhaa zake kwenye fulana za Simba, kwa mkataba usiojulikana hadharani kwa mashabiki wa Simba!? Hawezi kujiondoa Simba kizembe hivyo kisa kufungwa na Mtibwa..

Simba kafungwa na Al Ahly goli tano, Simba kachezea goli tano nyingine kwa AS Vita, jumla goli kumi. Simba akachezea goli tatu kutoka kwa JS Saoura. Jumla ngapi? 13. Lakini hakujiuzulu, ajiuzulu kufungwa na Mtibwa kwenye mashindano ya Milioni 15?

Mo kafanikiwa kwa 100%. Hajang'atuka. Bado yupo ndani ya Simba kama mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba. Bado anaendelea kuitumia Simba. Amewaunganisha wanasimba. Sasa wanajadili jina lake na sio matokeo ya Simba huko Zanzibar.

Mashabiki wa Simba wao wanataka kuona timu ikishinda. Hawana shida ya kuuliza wapi zilipo 20 alizonunua hiyo Simba. Zinafanya kazi gani? Hawana muda wa kuuliza haya kama wakimfunga Mbao FC na KMC kwenye ligi kuu. Kweli tena. Mo anajua hili..

Wapi zilipo $600,000 za, CAF kwa kuvuka makundi ligi ya mabingwa Afrika? Shabiki wa Simba anapata wapi akili ya kuhoji hayo endapo wanamfunga Polisi Tanzania na Kagera Sugar? Au kwenda Tanga na kumfunga Coastal Union?

Kwamba shabiki akaulize gate collection za michezo ya Simba ya ligi ya mabingwa Afrika? Bilioni 5 za Sport Pesa? Wapi fedha za Mo Energy au ni bure? Haki za matangazo AzamTV? Simba TV? TV rights? Shabiki atahoji haya baada ya kumfunga Lipuli?

Akili nyingi za Mo. Ni mfanyabiashara. Anajua hawezi kuacha Simba kirahisi. Kuna Faida kuendelea kuwepo Simba kwa jina la "shabiki mwekezaji wa Simba" Agenda setting! Waswahili wanajadili Tweet zake mbili na sio tena Mtibwa Sugar kumfunga Simba fainali!

Kwanini mwenyekiti wa Simba wakati fulani, Ismail Adem Rage alisema mashabiki wengi wa Simba ni "_______?"

Vyote vinaweza visiwe sahihi. Hii ni "vipi kama?"

#MMMView attachment 1323098View attachment 1323099
Cjakuelewa kwenye uz wako unataka tujadili nn...unaendelea kuteseka tu

Du huyu jamaa anawachezesha wazee wazima mdumange anavyotaka. Fedha sio mchezo
 
Hapo kwenye mashabiki wa simba ni Mbumbumbu linatosha kuwa summary ya habari yote na ndipo nilipoelewa zaidi
 
Back
Top Bottom