Mpondoshilla
Member
- Jul 4, 2022
- 36
- 132
Wakubwa shikaamoni, vijana wenzangu habari zenu,
Moja kwa moja katika mada katika huu utafiti wangu nilioufanya kwa muda mrefu kidogo, nimegundua kwamba tunapozaliwa akili tunachukua kwa mama maarifa au ujuzi kwa baba, utafiti huu ulianzia ndani ya familia yangu kwa baba yangu mwenye wake wanne nikagundua
Ni upande wa mama yangu tu ndo tumejaaliwa akili za darasani, mimi naziita hivo kutokana na utafiti wangu, nikaenda mbali zaidi katika shule yangu niliyosoma nikagundua walimu waliooa wanawake hawana akili za darasani watoto wao walikuwa hawana akili za darasani
Nikaenda ndani zaidi tena nikafanya utafiti kwa watu kadhaa waliozaa nje ya ndoa, hapa nazungumzia wanaume, ambao wamezaa zaidi ya mtoto mmja nje ya ndoa nikagundua vile vile kwamba kuna mke mmoja mwenye akili za darasani amezaa watoto wana akili za darasani pia
Baadae nikagundua kuwa kuna wnaume wlioa wanawake washika mikia darasani ila walizaa watoto washika namba moja darasani, wana akili mpaka zinamwagika, nikajiuliza kwanini utafiti wangu unapingana, nikagundua ukoo wa upande wa mwanamke kuna maprofessa
Ushauri wangu kama unataka usomeshe hata kama wewe ulikuwa unashika mkia oa ukoo wa wasomi hata kama huyo unae muoa hana akili kabisa za darasani hilo usiwaze
Pia kama hutaki kusomesha oa kwenye ukoo wa wasio na akili za darasani hata mmoja
Leta na wewe ushahidi wako hapa kama unapinga pia weka ushahidi
Asanteni ni kwamara yangu ya kwanza leo kutumia jamii f nilikuwa nasomaga tu nilikuwa sijajua kukoment wala kuanzisha uzi
Muwe na wakati mwema
Asanteni by shampondo